Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Yako yamekushinda acha umbea weweee!!!!
 
Dakika za majeruhi nikurudi kwa Muumba 2
Hata kuposti picha kama hizi inaonyesha jinsi Moyo unavyohangaika, tofauti ya Yona na Yuda iskarioti, Yona alikataa utume lakini Mungu alitaka kuonyesha utukufu wake na Yona baadaye alimrudia Mungu, Yuda roho ya usaliti (dhambi ) ndiyo iliyomsumbua na vipande vya fedha (dhambi) lakini neno lilitimia- Hata shetani katika maandiko matakatifu yanasema huomba kwa Mungu kwa nguvu zote kuliko hata wanadamu wanavyo omba na kusali iliatimize uovyu wake.
 
Dah! Magufuli kimyaaaaa kauchuna kama hasikii haya wakati anapita humu.[/QUOTE

Hahaa, umenikumbusha ule wimbo unaiotwa NISEME NINI...., Sizonje nae bado anatafakari anamchomoaje kilaza wake!!
 
wazee ni dawa wahenga hawakukosea hizi ni laana za Warioba
 
Pamoja na hayo yote wauza unga hatuwapi surport mnaua nguvu kazi ya taifa kwa kweli
 

Kumbe ndo maana "uhairishaji ndio ilikuwa order of the day!"
 
Jitu linajifanya mcha mungu kumbe baladhuri mkubwa
 
Huwezi kumhukumu mtu kwa kuangalia picha tu,huwezi jua huyo aliyelala pengine siku hiyo alikua hajisikii vizuri,pengine alikua ana umwa na kichwa so,akaamua ajipumzishe kidogo,

Pia upo uwezekano kua huenda labda yeye alianza mapema zaidi ya hao wenzake kujisomea na hapo wenzake walikua wanamalizia jambo fulani tu dogo so, yeye akaamua apumzike,

Ziko sababu nyingi tu za kuitafsiri hiyo picha ila mleta mada umeamua kuitafsiri in a negative way only,

Naona Jamii forums sasa inageuka na kua kawa Instagram,kuna team Makonda na kuna team Wema!!
JF irejeshe hadhi yake,sio kila unachokiokota huko kwenye magroup ya WhatsApp basi unakimbia mbio kuja kuanzisha thd humu, sio kwamba nawapangia watu vitu vya kujadili hapana sina maana hiyo, jf irudi katika ubora wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…