Watu tumbuaaaaaaaaa hahahahahahahahaMkuu malipo ya ubaya ni hapahapa duniani na siku zote ubaya hauna kwao inafaa atumbuliwe kwa style ile aliyofanyiwa marehemu kabwe "nimtumbue nisimtumbue mtumbueeeeee!"
Kamanda, siku zote usiwe na kiburi na majivuno. Watu watakupenda sana na utawahukumu watu bila wao kulalamika. Ukiwa jeuri na ufedhuli hatabkama mtu anamakosa utaonekana ynawanyanyasa watu na wakipata nafasi jiandae,Hoja nzito hii. Sijafurahishwa na jinsi issue ya Makonda inafanywa. Sio utu kabisa. Kama Makonda alikosea kuwataja watu kwa nini na sisi tunafanya kosa lilelile? Tena askofu. Too bad and pathetic
Kasahau kuwa ukiwa unaishi kwenye nyumba ya viooo kamwe usianzishe vita ya mawe2Kamanda, siku zote usiwe na kiburi na majivuno. Watu watakupenda sana na utawahukumu watu bila wao kulalamika. Ukiwa jeuri na ufedhuli hatabkama mtu anamakosa utaonekana ynawanyanyasa watu na wakipata nafasi jiandae,
Labda Mbasha, Pengo aliamua kunyamaza tu, katoliki mafundisho makubwa ni kusamehe na kunyamaza, wala sio kwamba ni kiboko ya pengo! Labda ni kiboko ya Mbasha alivyomgongea FlorahMakonda muombe msamaha gwajima.si MTU poa huyo.muulize mbasha na pengo.
Asante kwa moyo mkunjufulazima kuwasikiliza uliowakuta wakupe mwongozo
Dawa ya moto ni motoAchs kudanganya umma. Hapa ni kashfa kwa mtumishi. Sasa mtumishi ndo alipe kisasi. Biblia yako we unaisoma kama novel. Ujumbe wa Mungu uko wazi atakayevumilia mpka mwisho ndo atakayeokoka. Mchungaji kazi yake ni kuwafanya watu wamkaribie Mungu iwe kwa kusema. Kuonya. Kukaripia nk itakuwa mtume Paulo sikumbuki. Lakini yeye magumu yanapomkuta anapaswa kumkabidhi Mungu. Kibinadamu angeweza kujieleza yeye kuwa hauzi wala hatumii. Mali zake anazipata kwa njia hihi na hii nk. Lakini sio sasa kumfuatilia mtu. Huo sio unabii ni ushambenga. Sisi wakristo njia. Yetu ni Kristo. Ukweli wetu ni Kristo na uzima wetu ni Kristo. Kama yeye alivyokabidhi mateso yake. Mwanafunzi wake. Mkristo hupaswa kukabidhi mateso na mahangaiko kwa bwana. Njia hii ni ngumu. Sio rahisi. So. Makonda awe na makosa yake. Ok but sio kazi ya askofu kukaa kanisani na kuropoka. Its never done like that. He is or ought to be a Man of God. Now kama ataanza kutumia neno hivyo je akinza na siri za waamini wake anaowahudumia.
karibu tenaAsante kwa moyo mkunjufu
Busara? Wewe unazungumzia busara utawala huu. Ngoja tuvuane nguo kila mmoja abaki uchi baada ya hapo watu watachagua maneno yakusema akijua akifanya ufedhuli kesho ameanikwa kila kituTurudi kwenye misingi ya utu aise. Hatutafika kwa style hii. Tuheshimiane na kukosoana kwa busara. Wanaoongoza na wanaoongozwa.
moto moto tuAmewachokoza mwenyewe
Mpatie ofa ya kusafiri bure na mabasi yenunjoo uchukue gift yako
watu kama hawa majibu kama haya yanawafaa kabisa asante mkuuBusara? Wewe unazungumzia busara utawala huu. Ngoja tuvuane nguo kila mmoja abaki uchi baada ya hapo watu watachagua maneno yakusema akijua akifanya ufedhuli kesho ameanikwa kila kitu
Anatakiwa atwambie pia utajiri wake wa ghafla kaupata wapiKuuuuuumbeeee!!!basi muheshimiwa ana nyota ya kunguru kwenye elimu lakini kimafanikio ana nyota ya jah
Hao wote wapo chini ya uhifadhi wa ccmMi naona kawaida mkuu,
Angalia CV ya Chenge alafu utuambie alichotusaidia kama nchi
Kila tuhuma yumo pamoja na kuonekana kipanga shuleni.