DAB hukumu yake anapaswa kuwajibishwa na mamlaka au jamii lkn kwa upande wa Imani mwadamu hawezi kuhukumu kama Mungu. Hakuna dhambi kubwa na ndogo bali kuna dhambi isiyosamehekaWatu wenye dhambi kubwa ni dhihaka kusimamia madhabauni watu wasio taka toba zaidi ya kiki,
ikiwa anafanya dhihaka madhabahuni atavunaAisee mi nilicheka mpaka machozi yalinitoka. Yaani Bashite ni comedy tu, we uliona wapi mtu kashika microphone mkononi halafu analia?
Huko kwenye majengo ya waumini ndio kumejaa mazuzu na wanaafiki huwezi kuamini, yupo mwingine juzi kasimama na kipaza sauti anadai nchi hii ahitaji katiba mpaka uchaguzi ujao upite kwanza. Sijui kapewa bei gani bwana yule!
Kazi gani hiyo? Ziro tupu hakuna anachofanikiwaTumwache afanye kazi
Subiri uteuliwe ili ufanye zaidi yakeKazi gani hiyo? Ziro tupu hakuna anachofanikiwa
Mwanaume wa kweli sihitaji teuzi!Subiri uteuliwe ili ufanye zaidi yake
Vyeti ni mali ya mtu binafsi huwezi kumlazimisha avitoe hadharani bila ridha yake mpaka mamlaka husika iamue kukagua.Mpaka leo Bashite hajaonyesha vyeti, kazi kulialia tu kama bwabwa.
atoe vyeti atavipata wapi? Au Baraza la mitihani huwa wanatoa vyeti kwa waliopata sifuri?Vyeti ni mali ya mtu binafsi huwezi kumlazimisha avitoe hadharani bila ridha yake mpaka mamlaka husika iamue kukagua.
Kama alifika chuo mpaka akapata shahada basi vyeti vipo.atoe vyeti atavipata wapi? Au Baraza la mitihani huwa wanatoa vyeti kwa waliopata sifuri?
Bashite na Gwajima ni zilipendwa!
Hizo tuhuma dhidi yake ni tetesi tu maana hazijawahi kuthibitishwa na mamlaka husika hivyo inawezekana ni hadithi za kubuni na kuchekesha (soga).Haiwezi kuwa zilipendwa....
Ipo hai na itaendelea kuwa hai mpaka mtu alipie gharama zote......
Na gharama za DAB ni kutubu tu na kurudi kuwa mtu mwema......
Else yeye na washirika/mshirika wake wawe tayari ku - face consequences za uharibifu wao....
It's simple like that....
Mwanaume wa kweli sihitaji teuzi!
Niko bize na dili zangu
Mwanaume wa kweli hanaga wivu wa kike.
Endelea kufunua hot pot kwa mume wa dada yako hapo
Hizo tuhuma dhidi yake ni tetesi tu maana hazijawahi kuthibitishwa na mamlaka husika hivyo inawezekana ni hadithi za kubuni na kuchekesha (soga).
Nazungumzia hiyo iliyomteua na kumuapisha kwa jina la Paul Makonda.Kumbuka pia kabla ya uteuzi lazima vetting ifanyike ili kujiridhisha hivyo yote yalifanyika awali.Leo wataka mamlaka ipi ambayo ni genuine kuliko hii (ya kijijini kwake alikozaliwa, kusomea na kukulia) ku - pruvu kwamba huyo siyo Paul Christian Makonda bali ni Daudi Albert Bashite???
Vitafute vipesa ivo uone kama ni rahisiVijana vipesa vya kununulia utumbo vinawavalisha maono ya maisha mliopitia.
Vetting ya Makonda iliyofanyika na kumpitisha ni kumtukana hadharani Lowassa kabla ya uchaguzi mkuu na kumpiga Kwa mafanikio makubwa Mzee wa katiba isiyopendwa na ccm, Mzee WariobaNazungumzia hiyo iliyomteua na kumuapisha kwa jina la Paul Makonda.Kumbuka pia kabla ya uteuzi lazima vetting ifanyike ili kujiridhisha hivyo yote yalifanyika awali.