Nawaonea huluma sana mlieko Dar...
Mtu kipindi unapiga shule umetoka na one yako nzr tu, umepata two inayong'aa , three yenye hadhi kabsa.... Ila cha ajabu watu mliofaulu vizr mnaongozwa na zero zero zero....
Hivi wana Dar es salaam mnajisikiaje kwa hali hii hasa kwa wale mlio tusua masomo vzr!?!?
Hivi watoto walieko mashuleni huko si wamepoteza molari ya kusoma kwa juhudi kwa sababu hata bashite alitoka na zero ila mambo yake yako vzr!?!?
Mimi namshukulu mungu siko Dar ila nawahulumia mlieko Dar huku mlipiga shule mkafaulu vizr huku wengi wenu wa 2015, 2014, huruma2016 + 2017 mkiwa hamna AJIRA huku BASHITE akiwa anatanua na sizonje!!!
Wana Dar mnaishije na baba yenu BASHITE!?!?!?
Nb. Mods naomba mnilinde koz Dar ina ngazi nyingi za uongozi hivyo basi sijamtaja MTU!!
una dalili zote za kuonesha kuwa una mambo ya kike.Dar watu walivyo bize nani atahangaika na cheti cha mtuNawaonea huluma sana mlieko Dar...
mt
Mtu kipindi unapiga shule umetoka na one yako nzr tu, umepata two inayong'aa , three yenye hadhi kabsa.... Ila cha ajabu watu mliofaulu vizr mnaongozwa na zero zero zero....
Hivi wana Dar es salaam mnajisikiaje kwa hali hii hasa kwa wale mlio tusua masomo vzr!?!?
Hivi watoto walieko mashuleni huko si wamepoteza molari ya kusoma kwa juhudi kwa sababu hata bashite alitoka na zero ila mambo yake yako vzr!?!?
Mimi namshukulu mungu siko Dar ila nawahulumia mlieko Dar huku mlipiga shule mkafaulu vizr huku wengi wenu wa 2015, 2014, 2016 + 2017 mkiwa hamna AJIRA huku BASHITE akiwa anatanua na sizonje!!!
Wana Dar mnaishije na baba yenu BASHITE!?!?!?
Nb. Mods naomba mnilinde koz Dar ina ngazi nyingi za uongozi hivyo basi sijamtaja MTU!!
Na wengine wengi tuWewe na nani!?
Maisha Magumu sie tuko na Bashite
Watumishi wa nchi hii wanakatwa asilimia 15 kinyume na mkataba sisi tuko na Bashite
Mfumuko wa Bei uko juu sisi tuko na Bashite
Sukari bei juu sisi tuko na Bashite
Report ya CAG imetoka sisi tuko na Bashite.
SISI MITANZANIA NANI KATUROGA? HARAFU MNATAKA CCM ITOKE MADARAKANI? UPUUZI
Matatizo ya nchi hii yanasababishwa na ccm.Maisha Magumu sie tuko na Bashite
Watumishi wa nchi hii wanakatwa asilimia 15 kinyume na mkataba sisi tuko na Bashite
Mfumuko wa Bei uko juu sisi tuko na Bashite
Sukari bei juu sisi tuko na Bashite
Report ya CAG imetoka sisi tuko na Bashite.
SISI MITANZANIA NANI KATUROGA? HARAFU MNATAKA CCM ITOKE MADARAKANI? UPUUZI
KUMBE NI CCM MI NILIDHANI NI BASHITE HAHAAAAAAAAAMatatizo ya nchi hii yanasababishwa na ccm.
Hao watumishi si wana vyama vyao?! Kazi ya hivyo vyama ni nini?! Vipo kimya kabisa..halafu UsitupangieMaisha Magumu sie tuko na Bashite
Watumishi wa nchi hii wanakatwa asilimia 15 kinyume na mkataba sisi tuko na Bashite
Mfumuko wa Bei uko juu sisi tuko na Bashite
Sukari bei juu sisi tuko na Bashite
Report ya CAG imetoka sisi tuko na Bashite.
SISI MITANZANIA NANI KATUROGA? HARAFU MNATAKA CCM ITOKE MADARAKANI? UPUUZI
KWANI YULE RAIS WA TLS KAZI YAKE NI NINI?Hao watumishi si wana vyama vyao?! Kazi ya hivyo vyama ni nini?! Vipo kimya kabisa..halafu Usitupangie
Huko ccm hakuna hata kiongoZi mmoja anae mkubali bashite..yani kwa mfano baba ake akifa sasa hivi afanye ahame nchi..mana jela haiepukiki kwake.
Sasa ccm aka gamba si ndio mmezaa bashite.KUMBE NI CCM MI NILIDHANI NI BASHITE HAHAAAAAAAAA
Pole sana mkuu!CHADEMA hovyo sana wameshindwa mpaka kuchagua wagombea wa ubunge EALA kwa uzuzi wao wa kutokusoma kanuni wanahangaika na mambo ya kijinga jinga
Chadema ni chama cha wafanyakazi?!!! Bashite mkubwa wewe kazi kuiba vyeti tuKWANI YULE RAIS WA TLS KAZI YAKE NI NINI?
UPINZANI KAZI YAO NI NINI?
BENSAA NANE NA BASHITE NANI NI MUHIMU?
AU WEWE NI KAMANDA WA KUZUNGUSHA MIKONO TU? HIHIIII
Huna kazi Ya kufanya zaidi kumfuatilia mwanaume mwenziyo au wewe ke tafuta kazi ujingezee kipatoHuyu bwana kisheria hayuko salama ila kidikteta ndio yuko salama.
Kwanini nasema hivi?
Tuhuma zake kisheria ni jinai na jinai huwa haina ku-expire hivyo kisheria huyu bwana hayuko salama kabisa bali anachofanya kwa sasa ni ku-buy time tu kabla ya kuja kusimama kizimbani kujibu mashitaka yake wakati ukifika.
Kidikteta yuko salama kwasabu udikteta haujali utawala wa sheria na wala hausikilizi matakwa ya wananchi lakini udikteta una kikomo wakati utawala wa sheria hauna kikomo bali utaendelea tu kuwepo siku zote.
Ni bora Bashite akubali kukabiliana na mkono wa sheria sasa ili hata kama atakutwa na hatia basi anaweza kupewa msamaha baada ya kuhukumiwa na hata jela asikae ila akiendelea kupiga chenga ni hatari zaidi kwake maana hakuna anaejua kwa uhakika ni nani atakuwa mkulu kesho na kama anaweza kumpa msamaha.
Tusubiri ingawa shariti la kumrithi mkulu wa sasa linaweza kuwa ni kumlinda bwana Bashite hivyo wenye nia hiyo mjiepushe kumnonyooshe kidole huyo dogo ili mjiweke katika mazingira mazuri ya majina yenu kupenya wakati ukifika.
Ni hisia zangu kuwa wale watakaokuwa na mahusiano mazuri na bwana Bashite basi ndio watakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kupenya katika mchujo kuliko wale watakaonekana kuwa na uhusiano wa mashaka na kijana huyu.
Ni mtazamo tu.