ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,713
- 57,234
Asante mkuurekebisha uzi mkuu, sio Gwajima aliyeanzisha vita hii ila Makonder au jina halisi Bashiite
Umeona eeeeeHii ilikuwa na lengo la kijipatia umaarufu wa kisiasa.. Sasa mwache imtokee puani.. Mwigulu kamsusa coz Makonda aliibinafsisha vita ya madaws na kuifanya kama mali yake...
Niliwahi kusema tokea mwanzo na nitaendelea kuamini kuwa hii inayoitwa vita ya dawa za kulevya iliyoanzishwa namakondakta ilikuwa na lengo Moja tu, kujitajirisha haraka kwa kuwapiga watu waliotajwa au walioogopa kutajwa kama wauza madawa ya kulevya.
Kama utabisha basi utaniatolea mifano kati ya ile part 1, 2, na 3 wangapi wametajwa na wakathibitika na ushahidi Wa kufanya biashara hiyo
Kilichomuumbua zaidi ni suala LA clouds ambapo wafanyakazi walitishwa kubambikiziwa kesi za madawa ya kulevya kama wasingerusha kipindi alichokiandaa cha kumkashifu gwajima.
Hivyo wanaodhani kuwa alikuwa na dhamira ya kweli ni wale waji.nga ambao kwao upeo wao Wa kubaini ukweli Wa mambo ni Mdogo mno
Mere sayings as you say. Ushazoea story za vijiweni. Tuambie ile CCTV footage inaeleza nn.we vipi na akili zako za kibashite. Unatoka kolomije nn wewe? Halafu tufanye wa kolomije wote mrudi kwenuHakuwa na nia, inaonyesha unafahamu lengo lake, lakini hujatuambia lengo lake ilikuwa ni nini, unatuambia analijua mwenyewe.
Suala la clouds hakuna uthibitisho kuwa aliwaambia hivyo zaidi sana ni mere sayings, tunataka kuona video na audio akiwa na hao watangazaji akiwatishia kuwabambikizia hiyo kesi, otherwise hakuna hoja bado, zaidi sana ni mihemuko tu.
Mere sayings as you say. Ushazoea story za vijiweni. Tuambie ile CCTV footage inaeleza nn.we vipi na akili zako za kibashite. Unatoka kolomije nn wewe? Halafu tufanye wa kolomije wote mrudi kwenumsituletee akili zenu za mafuta ya mgando hapa
We Ndio f*ala kweli. More than 20 mins yuko kule ndani,alifanya nn s Ndio waliohusika wakasema..we wawapi weweCCTV footage inaonyesha mkuu wa mkoa anaingia ofisi za clouds kama mwenyeji akisindikizwa na watu wa usalama and I saw no confrontation, wewe na wenzako mnalaumu pasipo na vithibitisho, yaani mnafuata mkumbo kama vile wale nyumbu serengeti, wewe huna kithibitisho zaidi ya ile clip ila umeamua kuchukua upande wa kulaumu pasipo kuwa na kithibitisho, alafu mtu akitofautiana mawazo na wewe sio lazima awe ametokea kolomije na sio kitu cha ajabu, so behave niga.
We Ndio f*ala kweli. More than 20 mins yuko kule ndani,alifanya nn s Ndio waliohusika wakasema..we wawapi wewe
Punguza jazba jombaa, leta clip inoonyesha hizo 20 mins akiwa humo ndani, siwezi chukua maneno ya wahusika mm, what if they're lying, sina detector ya kugundua uongo, hence nataka nijiridhishe kwa macho yangu na masikio, siwezi chukua tu maneno yanasemwa semwa huko na mm niyabebe, no man, mimi sio nyumbu.
Duh, yaani wabongo wanafiki balaa, na huu uzi utachangamkiwa kuliko nyuzi zenye tija kwa jamii, and they're quick to blame the government for their misery. Inataka moyo kuongoza jamii yenye wapuuzi
Hy mnayebishana nae kwa jazba utajuaje ni mdg wake Bashii.... Maelezo yake tu yanatosha kuamini ni mkoromije.. msipoteze muda naeUnatutukana wenzio wapuuzi na wanafiki kwa kuchangia mada ambayo wewe mwenyewe umo. Pighead!
Yani Gwajima sio mtu mzuri hapendagi jokes. Maana kanyoosha sana maelezo.