Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Haya mastori ungewapa akina soudy brown jana usiku, hapa si mahali pake!!wanaume wa Dar at their best!
 
Duh, yaani wabongo wanafiki balaa, na huu uzi utachangamkiwa kuliko nyuzi zenye tija kwa jamii, and they're quick to blame the government for their misery. Inataka moyo kuongoza jamii yenye wapuuzi
 
Duh, yaani wabongo wanafiki balaa, na huu uzi utachangamkiwa kuliko nyuzi zenye tija kwa jamii, and they're quick to blame the government for their misery. Inataka moyo kuongoza jamii yenye wapuuzi
Inaonekana wewe ni mdogo wake na Bashite. Siyo Bure.
 
Mtakuwa mnahusika na madawa ya kulevya na Makonda kawashika pazuri.
DRUGS HAIWEZI KUWA SABABU YA KUVUNJA SHERIA. WOTE WANAOTUMIA, WANOSAMBAZA NA WANAOUZA PAMOJA NA HUYU MWENYE CHITI CHA MTU WANA MAKOSA YA JINAI NA WANAPASWA WAWE GEREZANI!
NASHINDWA KUELEWA KWANINI IWE SPECIAL CASE KWA DAUDI BASHITE WAKATI HUO HUO KUNA AMBAO MWAKA JANA KWENYE UHAKIKI WA VYETI WAMEFUKUZWA KAZI NA WENGINE WAKO JELA!
 
Yani yeye kakopi kutoka kwa mtu mwenye tetesi kaleta humu...
People shud be serious sometymz....
Wewe kiazi kweli. Nimeamua kuuweka mjadala wazi(open). Sijaufunga(closed) ili kubana uelewa wa watu juu ya kosa lililomfukuzisha. Kwa taarifa yako tunajua kwa nini alifukuzwa. Soma comments za wadau walio wengi na ndio hicho tunachokijua. Sisi ni watu wa mwanza. Tunajua kila kitu.
 
Kama unajua kila kitu weka wazi basi wengine tufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…