Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Acha maneno mengi lete cheti
 
We kiboko Nyuzi ya bashite ikitupiwa tu humu hata kama umelala usingizi usiku wa manane utashtuka kuja kumtetea, inaonekana hii kazi inakulipa si mchezo.😀
Michepuko hiyo isipopiga kelele watakula wapi?
 
Nimeipenda hiyo kauli "jinai haifi.."..naongezea hivi "jinai haifi na anaekupa kiburi ana miaka nane tu imebakia kabla nae kugeuka kuwa nyoka wa kabisa a.k.a "mzee"
Mkuu ongeza na mingine mitano kama ukomo unazungumzia sanduku la kura lakini kama mambo mengine ugonjwa, natural disaster au natural death sawa. Kudhania J atakaa madarakani awamu moja tu ni ndoto za mchana.
 
We kiboko Nyuzi ya bashite ikitupiwa tu humu hata kama umelala usingizi usiku wa manane utashtuka kuja kumtetea, inaonekana hii kazi inakulipa si mchezo.😀

Silipwi na mtu yoyote.
 
Huyo baba yake wa kufikia anayedanganyika. Bado miaka mitatu term yale inamalizika na akibahatika tena miaka mitano. There after hakuna atakayekubali huo upuuzi. Ni cello tu bora angeanza saa hizi apewe unyapara mapema
 
Msalimie bandugu Daudi Bashite.

Muulize kwa nini ameacha jina hili zuri la Daudi Bashite na kujipachika la Paulo Makonde?

Inaelekea umekosea uliyetaka kumquote, as uliyoyaandika sijui unaongelea nini.
 
Ngrrh ngrh.... who is that? Bashite here from Kolomije...
 
Makonda ana angusha utawala wa Magufuli hili halina mjadala
 
Mchungaji kasema Ana vyeti viwili kimoja cha Daudi A. Bashite ambacho alipata zero na kingine cha Paul c. Muyenga, swali dogo hapo, Je mwanafunzi akipata zero o-level anapewa cheti!
 
Mchungaji kasema Ana vyeti viwili kimoja cha Daudi A. Bashite ambacho alipata zero na kingine cha Paul c. Muyenga, swali dogo hapo, Je mwanafunzi akipata zero o-level anapewa cheti!
Mimi sijui kama mwanafunzi akipata 0 anapata cheti au la.

Raghba yangu ni kutaka kuviona vyeti alonavyo huyo tapeli askofu.
 
Kwa mtu mwenye akili timamu kwa sasa hawezi tena kuuliza swali kama hili maana kila kitu kimeshawekwa wazi mpaka majina ya watu aliosoma nao Msingi,Secondary na hata chuoni na wala yeye mwenyewe hajakanusha.

Keepon hoping!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…