jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,648
- 4,452
NA NDO MANA NATUMIA JINA LANGU HALISI SABAU NAJIAMINI ILA MTU USIYEJIAMINIKM WEW ENI HAKI KUJIKINGAKATIKA MAISHA NAAMINI MIMI NI NANI INAPOTOKEA MJINGA AKATUKANA NAHESHIMU SANA SABAU NDO UWEZO WAKE ULIPOFIKIA PIA NDO HISIA ZAKE KAWASILISHA
Mmekosa hoja, kwa hii aibu aliyoipata Bashite na timu yake haitafutika milele na milele..HABARI WANA JF
Naamini kila zama na kitabu chake na pia kila zama na nabii wake
haya yanayo endelea kuhusu Makonda yatapita na yata sahaurika na mbwe mbwe zake zote zitasahaulika ila
naomba tujiandae kisaikolojia itakaporudi suala la mihadarati na mbowe nalo litadumu kama hivi sijui ila msema kweli ni muda tu nao utafika
asante
napenda kutukanwa na watu wanaokuwa na mtazamo tofauti na mimi
Tuna liandaa la Mbowe
muda wowote tuna linukisha
Sisi tutakuja na ushahidi 100%,
chama gani kinaongozwa na ZERO!!
Hii ni aibu
Wewe ulipata ngapiTuna liandaa la Mbowe
muda wowote tuna linukisha
Sisi tutakuja na ushahidi 100%,
chama gani kinaongozwa na ZERO!!
Hii ni aibu
MNAPENDA KICK SANA HAHAHAHA MAGU HAWEZI KUIKOIMBA KWA MBOWE AU GWAJIMA MPAKA DUNIA INAISHAWewe panya ulioko bambabay mpakani uko utaanda kitu gani
Huyo magufuli mwenyewe wiki haikat bila kumpigia simu mbowe
Pambana na hali yako kwanza usijeaibika km makonda
[emoji23] [emoji23] mlianza na madawa issue ime pelekea kiongozi kukimbilia south sasa sina hakika likianza ilo nitapelekea nani mwengine kukimbia,maana mna beep mkipigiwa simu mbatupa na kukimbia badala ya kupikeaHABARI WANA JF
Naamini kila zama na kitabu chake na pia kila zama na nabii wake
haya yanayo endelea kuhusu Makonda yatapita na yata sahaurika na mbwe mbwe zake zote zitasahaulika ila
naomba tujiandae kisaikolojia itakaporudi suala la mihadarati na mbowe nalo litadumu kama hivi sijui ila msema kweli ni muda tu nao utafika
asante
napenda kutukanwa na watu wanaokuwa na mtazamo tofauti na mimi
HAINUNULIKIJE WAJUA KUWA FREEMAN AIKAEL MBOWE NDIE FIRIMON GASTURA WA IHUNGO SEC??
-----------------------------------------------------------------
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni!
JINA LA KUZALIWA:- Freeman Aikael Mbowe.
ELIMU:
SHULE YA MSINGI:- Lambo-Moshi (Jina-Freeman Aikael Mbowe).
SHULE YA SEKONDARI (I-IV) :- Kibaha Sec-Pwani (Jina-Freeman Aikael Mbowe).
- Inasemekana alihitimu Kidato cha Nne Mwaka 1979, akapata daraja la Nne (Failure).
SEKONDARI A'LEVEL:- Ihungo Sec-Bukoba.
JINA:- Firimon Gastura.
-Zingatia kwamba, Firimon Gastura alionekana akisoma Milambo Boys Kidato I-IV, wakati huo Freeman Aikael Mbowe akiwa Kibaha Sec.
N:B, Inasemekana kuwa Firimon Gastura hakumaliza masomo yake pale Ihungo kutokana na sababu mbalimbali (hazitaelezwa leo) lkn jambo kubwa ni kwamba baada ya muda Firimon Gastura alionekana Benk Kuu ya Tanzania (BOT) akiwa Bank Officer (mwajiliwa) wakati huo Gavana akiwa Mzee Mtei.
ZINGATIO:
Tunaendelea kujiridhisha na taarifa hizi kwa kutambua uhusiano kati ya Freeman Mbowe wa Kibaha Sec na Firimon Gastura wa Milambo Boys. Pia tunaendelea kujiridhisha ni kwa namna gani Freeman Mbowe aliajiliwa BOT kwa kutumia jina la Firimon Gastura ikiwa hakumaliza Masomo yake. Na ni kwa namna gani Mtu mmoja anaweza kutumia Majina mawili tofauti ktk elimu kwa ngazi tofauti.
Ukweli ni kwamba, taarifa za Elimu ya Freeman Mbowe zina mazonge mengi lkn pia jitihada za kufichika kwake ni kubwa zaidi.
Tunaomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa sahihi ili kuweka kumbukumbu sawa!
Baada ya ukamilisho huu tutaitoa CV ya Freeman Mbowe ama Firimom Gastura hadharani!
Unapoishi ktk Nyumba ya Vioo, jitenge na Vita za Mawe!
Kwa ushirikiano wa Magoiga SN-Mwanza.
MIMI,
[HASHTAG]#NinamuungaMkonoRaisWangu[/HASHTAG],
[HASHTAG]#NinapigaVitaMatumiziNaBiasharaYaMadawaYaKulevya[/HASHTAG]!
MenukaJr.
ALIYE KIMBIA NI NANI SAA MBONA MNAJITEKENYA AFU MNACHEKA WENYEWE[emoji23] [emoji23] mlianza na madawa issue ime pelekea kiongozi kukimbilia south sasa sina hakika likianza ilo nitapelekea nani mwengine kukimbia,maana mna beep mkipigiwa simu mbatupa na kukimbia badala ya kupikea
HAHAHAHAHHHAHAHAHAH vita ya mawe naiona sasaHAINUNU
LIKI
moja baada ya jingineJE WAJUA KUWA FREEMAN AIKAEL MBOWE NDIE FIRIMON GASTURA WA IHUNGO SEC??
-----------------------------------------------------------------
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni!
JINA LA KUZALIWA:- Freeman Aikael Mbowe.
ELIMU:
SHULE YA MSINGI:- Lambo-Moshi (Jina-Freeman Aikael Mbowe).
SHULE YA SEKONDARI (I-IV) :- Kibaha Sec-Pwani (Jina-Freeman Aikael Mbowe).
- Inasemekana alihitimu Kidato cha Nne Mwaka 1979, akapata daraja la Nne (Failure).
SEKONDARI A'LEVEL:- Ihungo Sec-Bukoba.
JINA:- Firimon Gastura.
-Zingatia kwamba, Firimon Gastura alionekana akisoma Milambo Boys Kidato I-IV, wakati huo Freeman Aikael Mbowe akiwa Kibaha Sec.
N:B, Inasemekana kuwa Firimon Gastura hakumaliza masomo yake pale Ihungo kutokana na sababu mbalimbali (hazitaelezwa leo) lkn jambo kubwa ni kwamba baada ya muda Firimon Gastura alionekana Benk Kuu ya Tanzania (BOT) akiwa Bank Officer (mwajiliwa) wakati huo Gavana akiwa Mzee Mtei.
ZINGATIO:
Tunaendelea kujiridhisha na taarifa hizi kwa kutambua uhusiano kati ya Freeman Mbowe wa Kibaha Sec na Firimon Gastura wa Milambo Boys. Pia tunaendelea kujiridhisha ni kwa namna gani Freeman Mbowe aliajiliwa BOT kwa kutumia jina la Firimon Gastura ikiwa hakumaliza Masomo yake. Na ni kwa namna gani Mtu mmoja anaweza kutumia Majina mawili tofauti ktk elimu kwa ngazi tofauti.
Ukweli ni kwamba, taarifa za Elimu ya Freeman Mbowe zina mazonge mengi lkn pia jitihada za kufichika kwake ni kubwa zaidi.
Tunaomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa sahihi ili kuweka kumbukumbu sawa!
Baada ya ukamilisho huu tutaitoa CV ya Freeman Mbowe ama Firimom Gastura hadharani!
Unapoishi ktk Nyumba ya Vioo, jitenge na Vita za Mawe!
Kwa ushirikiano wa Magoiga SN-Mwanza.
MIMI,
[HASHTAG]#NinamuungaMkonoRaisWangu[/HASHTAG],
[HASHTAG]#NinapigaVitaMatumiziNaBiasharaYaMadawaYaKulevya[/HASHTAG]!
MenukaJr.
Mbowe hatumii vyeti vyake. alifnji cha Filimon Gastura. Muda tu utasemaMakonda amefoji vyeti lakini Mbowe anatumia vyeti vyake halisi! Huoni tofauti hapo?!
Dawa imewaingia nyie na usifikiri watu wanaishi kibashite bashite. Mtaibika sana nyie.Mbowe hatumii vyeti vyake. alifnji cha Filimon Gastura. Muda tu utasema
Lakini hili tutadili nalo badae wacha tumalizane na Bashite kwanza then ndio tutamrudia huyo nae atuelezee vizuriBwana yesu asifiwe sana...
bwana yesu asifiwe sana...
Bwana aliye mwema amenituma nizungumze nanyi mawili matatu juu ya dungu yetu bwana daudi....
Sasa basi
GHapa kwenye Ofisi ya Kanisa tunacho cheti chake alichozungusha
ZERO0⃣...sema Ameeen!!
"Ameeeen!!
[HASHTAG]#gwajima[/HASHTAG]
Maneno meengi.cheti kiko wapi au kafata huko South AfricaSuala la dawa za kulevya kupambana nalo yahitaji moyo wa ujasiri sana.. Amina aliaga dunia hivi hivi kisa kusema hata kama ni mume wake atamtaja....
Sasa Makonda wanamtafutia kila mbinu, watatumia njia za kumchafua, wakishindwa watatafuta njia nyingine ili wammalize sababu ameanzisha suala la madawa ya kulevya...
Dunia nzima suala hili limekuwa gumu.
Ila inasikitisha sana vijana wetu wanavyoangamia...Unamkuta kaka yako ambaye angekuwa nguzo ya familia baadae, amekaa mahali anatoa udenda na kusinzia hovyo.
Nenda Feri uone watoto wadogo wa kiume wanavyoharibiwa....wanawapa madawa ya kulevya wakishalewa wanawashusha kule bondeni feri wanawafanya vitendo vibaya...