Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,837
La saba chiniSikiliza ndugu kufeli mtihani haimaanishi hujui kitu kuna Sababu nyingi zinazochangia kufeli.
Kuumwa kipindi cha mtihani.
Kupata matatizo ya kifamilia wakati wa mtihani n.k
Pia mitihani ya chuo inatungwa Na lecture wako wakati mitihani ya kidato cha nne Na Sita inatungwa na bodi.(necta) . Kwahiyo kwangu Mimi nasema ni rahisi kufaulu chuo kuliko kidato cha nne. Na Ndio Maana wanaofeli kidato cha nne ni wengi kuliko wanaofeli wakiwa chuo.
Na Huyu bwana bashite ninavyosikia amesoma miaka sita. Hiyo degree ya miaka mitatu.. Na pia akadisco Tena alipotaka kufanya master mzumbe.
Hv uhakiki ulpokuwa unafanyika,hayo yalifanyika ambayo unataka sasa yafanyike?Baada kuona mjadala tena mrefu humu ndani leo na mimi naona nitoe uzi wangu ili tupate kujadili wote na ikiwezekana kila mmoja awe amepata jibu sahihi.
Hii ni kutokana na swala linaloendelea ambapo mimi siwezei kukubaliana nalo wala kulikataa ila naweza kulikubali endapo tu itakuja evidence itakayoonyesha hii ni kweli, si jambo lingine nalozungumzia hapa ni swala la kusema RC wa Dar amechukua jina ambalo si la kwake, hebu tujiulize maswali yafuatayo ili tupate kujiridhisha na kuweza kumaliza utata wa swala hili.
1: Mmiliki halali wa hicho cheti yuko wapi na anajihusisha na nini?, na je ni kwanini asijitokeze au asichukuliwe ili kumaliza mzizi wa fitna badala ya kumsubiri huyo mtu anayedhaniwa amechukua jina la mtu na kulitumia ndo afanye hivyo?.
2: Endapo akijitokeza huyo mhusika (mmiliki halali wa hicho cheti) anapaswa kuulizwa maswali kadhaa
A) ni kwann alikubali jina lake litumiwe na mtu mwingine na kupelekea huyo mtu kujiendeleza kielimu na si yeye binafsi
B) kwann alisubiri watu wajitokeze na si yeye binafsi asiende kwenye vyombo vya sheria ili kuchukua hatua juu ya swala hilo?.
C) atatuthibitishiaje umma tupate kuamini kuwa yeye ndo mmiliki halali wa hilo jina?
3: kama kuna mtu mwenye ushahidi mbali na mhusika kamili ambaye bado hajatoka mbele ya kadamnasi kuthibitisha kuwa bwana Daudi Bashite alibadilisha jina na baadae akaitwa Paul Makonda ni kwanini asijitokeze na kuweka mambo hadharani ili watu wajue ukweli badala ya kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii.
4) familia ya mtu ambaye cheti chake kilichukuliwa either kwa kununuliwa au kwa kukitoa kawaida iko wapi? na kwanini hawataki kujitokeza hadharani ili kuwafungua watanzania wengi wanaoamini au wasiamini hii sinema kama ni kweli au la?
5) Walimu, wanafunzi wenzake na Daudi Bashite pamoja na Paul Makonda wako wapi? Na kwanini wasijitokeze na kutoa ushahidi kamili licha ya huu unaosadikika?
6) na je ni kwanini wasifatwe ndugu wa karibu wa familia ya paul makonda na kuhojiwa juu ya hili swala ili kupata jibu sahihi mbali na kuendelea kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii?
NB: kuna kipindi kulikuwa na maswala kama haya ya bwana Daud Bashite na ikapelekea kuandikwa kwa kitabu cha "MAFISADI WA ELIMU" kuna baadhi ya viongozi ambao mpaka leo wapo madarakani, na watu wamekosa ushahidi wa kusema kwamba wamechukua vyeti vya watu na kujiendeleza kielimu au la.
Mtazamo wangu kama ni kweli huyu jamaa alichukua vyeti ni heli yakatumiwa hayo maswali kama njia mojawapo ya kusema ukweli kuliko kusema, kuandika sana haya mambo kila siku kwenye mitandao ya kijamii na hata kwenye baadhi ya vyombo vya habari bila ya kuwa na ushahidi yakinifu na kuwafanya watanzania kuacha kufanya mambo mengine na kujadili hili jambo kila siku.
[HASHTAG]#huu[/HASHTAG] ni mtazamo wangu tu ambao utatusaidia kumaliza huu utata wa bwana Daud Bashite/Paul Makonda.
Ni kwamba alibebwa. Darasa la nne kafeli mara mbili, la Saba kafeli, fomu 4 kafeli, chuo Kikuu miaka 6Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.
The Corservator
Kwenye hayo maswali yako pia ongezea swali alianza elimu ya chuo mwaka gani na kumaliza mwaka gani?Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.
The Corservator
Ndio hivyo alibebwa. Na yule mama yake aliyeula hivi karibuni yuko sawa?Na mashaka sana na elim yako
Elim ya chuo ni tofauti na sekondary au advance
Chuo magumash meng yanafanyika
Mara ngap umesikia wadada wamelala na maprofesa wafaulu ??
Chuo watu wanafanyiana assignment,quiz test na sometymes mpaka UE's
Chuo watu wananunua mitihani
Vitu ambavo havipo sekondary wala advance
Kutoboa chuo ni easy sana
Unaweza kuwa sahihi kuna watu watakuwa wana wivu tuuWanampenda sana Mh. Makonda, hawalali, hawaogi, hawali, hawanywi etc
Wanamuwaza tu, wengi na wivu juuuuuuuuuuu
Wanampenda sana Mh. Makonda, hawalali, hawaogi, hawali, hawanywi etc
Wanamuwaza tu, wengi na wivu juuuuuuuuuuu
Mama kama ww ndio mama Daudi mwenyewe aliyekusudiwa kwenye kale ka comment ka instagram, basi anza kuandika maumivu taratibu. Mumeo kashakua mshukiwa wa kutenda uhalifu wa kununua cheti cha mtu na kukitumia. ikibainika, sheria itakata kama msumeno.Wanampenda sana Mh. Makonda, hawalali, hawaogi, hawali, hawanywi etc
Wanamuwaza tu, wengi na wivu juuuuuuuuuuu
mbona huyu jamaa anapenda kukaa akiwa amebinuka. au ndio marinda yenyewe😵
Kuna kiumbe moja hapo anaitwa cocochanel asema watu wengi wanamuwaza na wivu juuuuuuuuuuu.mbona huyu jamaa anapenda kukaa akiwa amebinuka. au ndio marinda yenyewe😵
Chuo cha ushirika moshi ni Bashite pia,
mwambie huyo cocochanel atueleze kidogo.Kuna kiumbe moja hapo anaitwa cocochanel asema watu wengi wanamuwaza na wivu juuuuuuuuuuu.
akipatikana na hatia ya kutakatisha cheki, ananyang'anywa na cheti na chuo.div 0 huwezi kwenda chuo kikuu.
umeambiwa hiyo degree ya miaka mitatu amesoma kwa muongo mmoja (>10yrs)Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.
The Corservator
Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.
The Corservator
Alijiongeza. Unamjua Mtanzania pekee anayefanya kazi bill Gates? Kamuulize au fuatiliaMnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.
The Corservator
Hujafika chuo mkuu, kule Kuna kudesa sana tu. Vijiji wakati wa mitihani, 4-4-2 na course work za kununua au kujipendekeza sana. Ndiyo maana Professional bodies huanzishwa. Kama ilivyo NBAA kule hakatishi mtu na degree za kibashite bashiteMnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.
The Corservator
Mbwa wa Manzese hilo ndiyo jibu sahihi mia kwa mia. Nina Mashaka na Maprofesa na Wahadhiri wa hicho Chuo.Chuo cha ushirika moshi ni Bashite pia,