Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Kizazi labda cha kwako na mama ako ndio amejishushia heshima.
 
Yani KILAZA atuongoze?Hapana huyo KIHIYO mtafutieni pa kwenda
Mkuu mbona tunaongozwa na vilaza wengi sana...mbowe,lema,nape,na makonda kama kwel amefoj vyet...kwa hyo sio kitu cha ajabu...
 
Kwa mtazamo wangu yafuatayo yanaweza kuwa madhara ya kufumbia maccho jambo hili.

1.Waliokuwa wamebakiza imani ndogo kwa Mkuu wa Kaya sasa wamebakiza imani "zero" kwake

2.Waliokuwa bado wanamuamini sasa imani yao kwake nayo imeanza kushuka

3.Imani ya wananchi kwa chama tawala inazidi kushuka

4.Chama tawala kitapoteza viti vingi vya ubunge hasa katika jiji la Dar-es-laama na majiji mengine makubwa ya nchi hii.

5.Zoezi zima la uhakiki limepoteza maana na limedharaulika.

6.Mazoezi mengine yoyote yatakayofuta watu watayadharau

7.Waliokuwa bado wanavutiwa na hotuba zake sasa wataacha kumsikiliza.

8.Ni mfano mbaya kwa wanafunzi walioko mashuleni.

9.Vijana wengi wataamini mafanikio katika maisha ni ujanja wako tu na kwamba kusoma sio issue.

10.Ukijuana na wakubwa wewe ni utouchable.

11.Baadhi ya vijana watakuwa insipired kufuata nyayo za RC huyu kufikia hapo alipo bila kujali hatari inayowakabili.

12.Baadhi ya watu hawatakuwa comfortable kuumpa mtuhumiwa heshima yake kama kiongozi na wengine hawatajisikia amani kuhudumiwa na mtuhumiwa.

13Mthumiwa nae hatakuwa comfortable kupokea heshima anayopewa na atajihisi hastahili tena heshima hiyo.

14.Hadhi ya jiji husika na watu wake kushuka thamani.

15.Mtuhumiwa kujihisi kusemwa na kila mtu hasa pale anapoona watu walio karibu yake au anaofanya nao kazi ofisi moja wanapiga story katika vikundi na hata wawapo maofisini...

16.Athari za kisaikolojia kwa muhusika katika siku za baadae.

17.Ajenda na turufu ya upinzani mwaka 2020
 
Bashite aachwe for sure anatia huruma asamehewe kama alikosea sehemu na zero yake anafanya na atafanya mambo makubwa mazuri kuzidi hao wenye mavyeti na mavyeti
 
Jana upuuzi huu
leo umerudia ku copy !!
Imesha buma
mwambieni kwanza Mbowe aonyeshe vyeti walau vya lasaba tu
 
Nawaza tu hiv kabla ya urc aliwah kufanya kaz mahal popote alipataje kaz bila vyeti.au alikuwa fresh from xul akapata u rc
 
Bashite aachwe for sure anatia huruma asamehewe kama alikosea sehemu na zero yake anafanya na atafanya mambo makubwa mazuri kuzidi hao wenye mavyeti na mavyeti
Sheria zingekua hivyo kama ni kweli hata wale tuliowafunga inabidi tuwatoe wasamehewe tu .Kumuacha huyu ni sawa na kusema kwamba tulikosea kufanya uhakiki Wa vyeti .Hii ni iwapo itathibitika kwamba vyeti hivyo sio vyake kweli.
 
Bashite aachwe for sure anatia huruma asamehewe kama alikosea sehemu na zero yake anafanya na atafanya mambo makubwa mazuri kuzidi hao wenye mavyeti na mavyeti
Tangu Magu aingie madarakani wameshaumia watu wa ngapi kwa wanayoyafanya?Yeye mwenyewe(RC) keshaumiza wangapi?
 
17.Ajenda na turufu ya upinzani mwaka 2020

Makonda ndo afanywe kuwa ajenda na turufu kwenye uchaguzi wa 2020?

Huko kutakuwa ni kujisababishia kipigo cha ki-Tsunami.

Tayari tu kwa hali ilivyo wapinzani watashindwa.

Ila kulifanya hilo jambo liwe ajenda kutaongeza ukubwa wa kipigo.

Mtajanambia hiyo 2020!

Vyama vya upinzani vya Tanzania havijui kabisa kupanga mikakati ya kisiasa.
 
Bashite aachwe for sure anatia huruma asamehewe kama alikosea sehemu na zero yake anafanya na atafanya mambo makubwa mazuri kuzidi hao wenye mavyeti na mavyeti
1. Kwani waliofukuzwa kazi na kufikishwa mahakamani walikuwa wanafanya mambo mabaya?

2. Je zoezi lilioanzishwa na Rais kwa msisitizo na maneno makali lilikuwa halina maana?

3. Je waliokwisha kufukuzwa kazi na kutupwa jela nao wasamehewe?

4. Je sheria husika inaruhusu waliogushi kusamehewa kwa misingi unayotaja kwenye bandiko lako?
 
Mkuu mbona tunaongozwa na vilaza wengi sana...mbowe,lema,nape,na makonda kama kwel amefoj vyet...kwa hyo sio kitu cha ajabu...
Kama mnaongozwa na hao sawa ila hatuwezi kuongozwa na mtu anayejiita Paulo wkt ni Bashite
 
Jana upuuzi huu
leo umerudia ku copy !!
Imesha buma
mwambieni kwanza Mbowe aonyeshe vyeti walau vya lasaba tu

Kwani umeambiwa Mbowe anatumia.jina la kununua?? Mmejiliza kanisani kisa mnaogopa kwenda jela unasingizia Mke wangu siyo RAIA.Mbona mnawapeleka wenzenu masaa 48 zamu yenu kuona jela.

Jela miaka saba inawasubiri hata mile vipi. Halafu ukapime hizo Sugu kama ziko zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…