Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Weka hapa ushahidi wa mtu huyo kufoji vyeti kila siku naona maneno matupu.
 
Alicho kisema mtoa maada Mr salary slip hakina mashiko hata kidogo. Hoja hujibiwa kwa hoja, Gwajima atoe vyeti tufanye judgement kwa ushahidi. Gwajima alete vyeti vyake tujue amesoma wapi Na PHD yake kaipata wapi?
 
weka hapa ushahidi wa cheti kilicho nunuliwa na bashite.
 
vyeti vya wanyonge ndivyo vilivyolengwa kwenye uhakiki !
 
Mbona bashite mwwnyewe hajitokezi? Hii inawezekana hajitambui alishasahau kuwa yeye ndie bashite
 
Makonda ndiye kiongozi wamkoa wa Dar es salaam
mpende msipende
Kwa mujibu wa biblia sadaka ya kuteketeza hupaswa kuwa kamilifu.

Jamaa yako bunduki haina risasi.
Kila akisimama mbele ya watu wanamchekea tumboni.
Kashindwa kumuongoza my wife wake atatuweza sisi?
 
Waliotimuliwa makazini na vyuoni kwa kuwa na vyeti au sifa za kughushi wameonewa?
Dhambi na dhana ya ubaguzi zinaonekana kuchipua kwa Kasi awamu hii.
 
Huyu baada ya kusingiziwa wala hakuremba,na swala lake yeye wala halikuwa limevuma kihivyo
sasa mmwambie BASHITE ajitokeze kuliko kumpa wakati mgumu aliyemteua
 
Hapo ndipo namkumbuka marehemu mchungaji C. Mtikila, RIP, angeisha mfungulia kesi ya kikatiba! isema uongo chini ya kiapo. Bhashittttttteeeeeeeehhhhh!
 
Kisha uje utuletee Madhara ya kumlinda
kiongozi mkuu wa chama ZERO kinacho jipambanua kuwa kisafi

Kabla hujamwambia jirani yako kwake pachafu
Anza kujiuliza wewe kwanini kwako Maskani ya Nzi!!
Ili zezeta la Lumumba halijielewa, wewe anazungumziwa Daudi Bashite, athari za kufoji vyeti na kutochukuliwa hatua kama watuhumiwa wengine waliobainika we unaleta ushabiki usio na maana, kubwa jinga .
 
Awe na cheti au asiwe na cheti Mbowe hajafoji cheti wala kubadili jina.

CCM chama cha wezi na wahalifu wa kitaaluma.

Mbowe aligombea Kama mgombea mwenza Urais
hahaha Yaani tuwe na Rais ZERO?
Awaongoze hukohuko kwa wapuuzi
 
Well said,nimemuona mkuu mnafiki wa kupindukia,yani nilikuwa na imani naye xana lakini da
 
Ili zezeta la Lumumba halijielewa, wewe anazungumziwa Daudi Bashite, athari za kufoji vyeti na kutochukuliwa hatua kama watuhumiwa wengine waliobainika we unaleta ushabiki usio na maana, kubwa jinga .

{Halijielewa}
RUDI SHULE KWANZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…