Jolebatawi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 549
- 230
We bado una hayo tu!
Alimuibia mama yako or? Huyo unayedai kaibiwa amefungua Kesi wapi na lini?Ulitaka awe na yapi?uibe cheti utegemee kufumbiwa macho?hili litakuwa kama mzimu,tukiamka tunalo,tukilala tunalo,hadi hapo haki itakapotendeka kama watumishi wa vyeti feki walivyoondoshwa serikalini.
kwani kutumia cheti cha mtu ni kosa?
lete kifungu cha sharia kinachosema ni kosa
Ukapimwe akili wewe,kilazakwani kutumia cheti cha mtu ni kosa?
kwani kutumia cheti cha mtu ni kosa?
Ingekua tuhuma za uongo ninavyomjua bashite mtu wa media ungemuona tayari radio mawingu au TV mawingu akikanusha, kwani issue ya kukanusha vyeti si dk chache tu sasa yeye mbona anachukua mda mrefu? Au ndio wanamsaidia kutengeneza vingine, mimi ninavyo original ukitaka kuviona nitafute
yule nesi alifungwa kwa kifungu au vifungu vipi ? na walioachishwa kazi ni sheria zipi zilitimika ambazo haziwezi kutumika kwa huyo mdau?!lete kifungu cha sharia kinachosema ni kosa
Aisee nimecheka Sana japo sielew tafsiri ya nenoFundulukumunyu
Mbona alishakamatwa!Aanze Mbowe muuza unga anayezuwia asikamatwe wala kupekuliwa, na mkwepa kodi mkubwa, aliyeuza chadema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana siyo kosa mkuu, hasa ukiwa kiongozi wa serikali na kada wa chama pendwa kosa linajifuta automatically. Msamehe bure huyo hajui chama chenu kinavyoendeshwa.
kwani kutumia cheti cha mtu ni kosa?
duuh,,, yan wabongo msiguswe,,, mshaanza kumsakama na kwenye uraia?? Hapo mnadanganya thatha,,
ni raia wa wapi labda mkongo au??
duuh,,, yan wabongo msiguswe,,, mshaanza kumsakama na kwenye uraia?? Hapo mnadanganya thatha,,
ni raia wa wapi labda mkongo au??
Alimuibia mama yako or? Huyo unayedai kaibiwa amefungua Kesi wapi na lini?
Tufike muda tuache unafiki,,,nyie ndo wauza poda wenyewe,, kwa nn mumsakame kias icho BASHITE wa watu??