Hakuna yoyote mwenye tatizo na ukuu wa mkoa wa Makonda. Na pia kupata zero ni haki yake ya msingi kawa wenginei. Tatizo letu na Makonda ni shutma ya kutumia cheti na jina la mtu
Akiwa kama kiongozi na kinondoni cha jamii, hasa katika hii awamu ambayo wengi wamefukuzwa kazi zao Kwa sababu ya kugushi vyeti, Makonda lazima a atoe ufafanuzi wa haya maswala yenye utata