Asahuriwe tu kuwa Whisky ina take effect usiku na ukifanya mzaha unaamka nayo. Mbombo ngafu!Hahhaha yaani kazi tunayo kama avatar yako ilisema!
Asahuriwe tu kuwa Whisky ina take effect usiku na ukifanya mzaha unaamka nayo. Mbombo ngafu!Hahhaha yaani kazi tunayo kama avatar yako ilisema!
Mke wa mchungaji huyo, Happiness Ngasala aliiambia Mwananchi kuwa mchungaji huyo alikuwa nyumbani kwake.
“Mume wangu yupo nyumbani hapa. Hizo taarifa hazina ukweli wowote,” alisema.
Kuhusu madai ya kutoa maneno nayo, Ngasala alisema: “Hata huo waraka si wa kweli. Mchungaji hawezi kutoa maneno kama hayo.”
Ngasala, ambaye alithibitisha kwamba mume wake yupo nyumbani alipoombwa ampe Mzee wa Upako simu ili mwandishi azungume naye, alisema apigiwe kwenye simu yake.
Mwandishi alipomwambia kwamba mchungaji huyo amepigiwa simu yake lakini hajapokea, alisema mume wake hajakamatwa na kwamba kuna kinyozi alifika kwa ajili ya kumnyoa nywele, hivyo apigiwe baadaye.
Hata mimi aisee.Sijawahi ona comment ya kipumbavu kama hii.
Dah kaz ipo asee...Kama aliweza kuimba na kutunzwa fedha basi atakuwa aliingia hapo kanisani kwake akiwa tayari keshapiga bapa ndogo nyingine..maana ulevi hutolewa kwa kilevi!
hairuhusiwi si kiimani wala kiafyaTukianzia hapa itakuwa powaah.