bruno castol
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,046
- 661
,pesa kwake zipo maana yeye si analetewa sadaka na watu wake, anatafuta wapi?
Anakusanya hela kwa kisingizio cha kumtolea Mungu hivi ni lini waliwahi kumpelekea hizo hela?Wachungaji wa shilingi wa kidigitali
Yeye anasema maisha yametulia sababu anajua ana uhakika wa kula kwa wale anaowadanganya kila siku
Sasa mkuu Lusekelo , unafahamu kwanini Gabon au Brazil watu waliandamana ? Baada ya kuhongwa barabara ya kuja kanisani kwako ndio umejisahaulisha haki za raia zilizomo kwenye katiba ?MCHUNGAJI ANTONY LUSEKELO MAALUFU KAMA MZEE WA UPAKO AMEWATAKA WAPINZANI WASIVURUGE AMANI YA NCHI YETU.
Mzee wa upako aliyasema hayo katika Ibada takatifu tarehe 18september 2016 na baadae, mahubiri hayo kurushwa hewani na channel ten tarehe 22 September 2016.
Mchungaji Lusekelo aliwambia wahumini wake kuwa kwasasa maisha yanaenda vizuri na Rais Magufuli anafanya tulichokuwa tunataka kwa miaka mingi kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma.
Kuhusu swala la pesa kukosekana mtaani Mchungaji Lusekelo alisema nina nukuu "Pesa zipo mtaani kama kawaida lakini kwa watu wanaofanya kazi na sio wavivu, na zamani pesa zilizagaa kwa sababu ya ubadhilifu wa mali za umma" pia kasema yeyote anayelalamika ni yule aliyekuwa anapata pesa kwa njia zisizo halali.
Katika hatua nyingine Mchungaji Lusekelo alimtaka Dr.Magufuli asisumbuke kubadili pesa za nchi kwani fedha zipo mtaani na maisha ni mazuri tu hakuna ugumu wowote.
Pia aliwataka waumini wake wasijaribu kushiriki katika maandamano yeyote Yale na wala wasidanganyike kuchezea amani ya nchi kwa watu wenye uroho wa madaraka na kuwadanganya kuwa Magufuli kabana demokrasia wakati sio sahihi kabisa.
Mchungaji Lusekelo, alitoa mifano miwili ili kuwaelimisha wahumini wake, wa kwanza ni nchi ya Gaboni mzee wa upako aliwambia nchi hii imehalibiwa na watu wasiozidi elfu 3,000 kwa kuingia barabarani na kuanzisha maandamano na sasa nchi ile imevulugika.
Mfano mwingine katolea nchi ya Brazili, kuwa Taifa hili limevulugwa na watu wasiozidi elfu 10,000 baada ya kuingia barabarani na kuandamana na kusababisha machafuko na nchi kutotawalika.
Mzee wa upako alirahani vikali opalesheni Ukuta iliyokuwa imetangazwa kufanyika tarehe moja September mwaka huu kwakusema, ilisababisha Taifa kukosa watalii kuja. kuangalia kupatwa kwa jua kule Mbeya kwakuhofia machafuko nchini nakuwataka wapinzani wasirudie kitendo hiki.
Mwisho Mzee wa upako ametangaza kutumbua majipu mpaka kanisani na ikiwezekana kukata mguu wenye jipu ili jipu litoke na mtu aweze kuishi, baada ya hapo alimalizia kwakuimba wimbo wa Tanzania.
Hongera sana mchungaji Lusekelo hakika umenena vyema.
Imeandaliwa na wenu,
MWITA NYARUKURURU
Mwakasege huyu aliyetaka kugombea ubunge Arusha mjini kwa tiketi ya ccm au mwingine ?Mimi nchi hii namwamini mwalimu mwakasege, hao wajanja wa mjini hapana kabisa Mungu atusaidie
Humjui vizuri Huyo mtu hajawahi kuwa na hayo mawazo ni propaganda za ccm tu, the man is strong himself angalia hata Huduma anayofanya ni kwa kila mtu na hana majivuno kama wachungaji wetu wengi habagui na kitu unachopaswa kujua mwakasege ni mchumi na aliacha kazi hiyo ili amtumikie Mungu wake vizuri kwa uhuru usitegemee atakuja kugombea ubunge sahau kabisaMwakasege huyu aliyetaka kugombea ubunge Arusha mjini kwa tiketi ya ccm au mwingine ?
Siasa zitakuuwa wewe balahau.Hata chanjo mmeshindwa kununua mnajisifu ujinga.Kila kitu kimesima alafu eti mtu anasema serikali yangu tajiri!
Kutoka kwako hakuna jema la kutararajiwaMCHUNGAJI ANTONY LUSEKELO MAARUFU KAMA MZEE WA UPAKO AMEWATAKA WAPINZANI WASIVURUGE AMANI YA NCHI YETU.
Mzee wa upako aliyasema hayo katika Ibada takatifu tarehe 18 September 2016 na baadae, mahubiri hayo kurushwa hewani na Channel ten tarehe 22 September 2016.
Mchungaji Lusekelo aliwaambia waumini wake kuwa kwa sasa maisha yanaenda vizuri na Rais Magufuli anafanya tulichokuwa tunataka kwa miaka mingi kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma.
Kuhusu suala la pesa kukosekana mtaani Mchungaji Lusekelo alisema ninanukuu "Pesa zipo mtaani kama kawaida lakini kwa watu wanaofanya kazi na sio wavivu, na zamani pesa zilizagaa kwa sababu ya ubadhirifu wa mali za umma" pia kasema yeyote anayelalamika ni yule aliyekuwa anapata pesa kwa njia zisizo halali.
Katika hatua nyingine Mchungaji Lusekelo alimtaka Dr.Magufuli asisumbuke kubadili pesa za nchi kwani fedha zipo mtaani na maisha ni mazuri tu hakuna ugumu wowote.
Pia aliwataka waumini wake wasijaribu kushiriki katika maandamano yeyote yale na wala wasidanganyike kuchezea amani ya nchi kwa watu wenye uroho wa madaraka na kuwadanganya kuwa Magufuli kabana demokrasia wakati sio sahihi kabisa.
Mchungaji Lusekelo, alitoa mifano miwili ili kuwaelimisha waumini wake, wa kwanza ni nchi ya Gaboni mzee wa upako aliwaambia nchi hii imeharibiwa na watu wasiozidi elfu 3,000 kwa kuingia barabarani na kuanzisha maandamano na sasa nchi ile imevurugika.
Mfano mwingine katolea nchi ya Brazili, kuwa Taifa hili limevurugwa na watu wasiozidi elfu 10,000 baada ya kuingia barabarani na kuandamana na kusababisha machafuko na nchi kutotawalika.
Mzee wa upako alilaaani vikali oparesheni UKUTA iliyokuwa imetangazwa kufanyika tarehe moja September mwaka huu kwa kusema, ilisababisha Taifa kukosa watalii kuja kuangalia kupatwa kwa jua kule Mbeya kwa kuhofia machafuko nchini nakuwataka wapinzani wasirudie kitendo hiki.
Mwisho Mzee wa upako ametangaza kutumbua majipu mpaka kanisani na ikiwezekana kukata mguu wenye jipu ili jipu litoke na mtu aweze kuishi, baada ya hapo alimalizia kwa kuimba wimbo wa Tanzania.
Hongera sana mchungaji Lusekelo hakika umenena vyema.
Imeandaliwa na wenu,
MWITA NYARUKURURU