Hivi tumekuwa kama tumerogwa, hivi ni kweli tunaamini haya yanosemwa?Jizi linakua linajisahau. Linachangisha masikini badala ya kuwasaidia eti linawaombea
Dini na Siasa; Aliahidiwa barabara au wale wanojengewa makao makuu unategemea nini?MCHUNGAJI ANTONY LUSEKELO MAALUFU KAMA MZEE WA UPAKO AMEWATAKA WAPINZANI WASIVURUGE AMANI YA NCHI YETU.
Mzee wa upako aliyasema hayo katika Ibada takatifu tarehe 18september 2016 na baadae, mahubiri hayo kurushwa hewani na channel ten tarehe 22 September 2016.
Mchungaji Lusekelo aliwambia wahumini wake kuwa kwasasa maisha yanaenda vizuri na Rais Magufuli anafanya tulichokuwa tunataka kwa miaka mingi kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma.
Kuhusu swala la pesa kukosekana mtaani Mchungaji Lusekelo alisema nina nukuu "Pesa zipo mtaani kama kawaida lakini kwa watu wanaofanya kazi na sio wavivu, na zamani pesa zilizagaa kwa sababu ya ubadhilifu wa mali za umma" pia kasema yeyote anayelalamika ni yule aliyekuwa anapata pesa kwa njia zisizo halali.
Katika hatua nyingine Mchungaji Lusekelo alimtaka Dr.Magufuli asisumbuke kubadili pesa za nchi kwani fedha zipo mtaani na maisha ni mazuri tu hakuna ugumu wowote.
Pia aliwataka waumini wake wasijaribu kushiriki katika maandamano yeyote Yale na wala wasidanganyike kuchezea amani ya nchi kwa watu wenye uroho wa madaraka na kuwadanganya kuwa Magufuli kabana demokrasia wakati sio sahihi kabisa.
Mchungaji Lusekelo, alitoa mifano miwili ili kuwaelimisha wahumini wake, wa kwanza ni nchi ya Gaboni mzee wa upako aliwambia nchi hii imehalibiwa na watu wasiozidi elfu 3,000 kwa kuingia barabarani na kuanzisha maandamano na sasa nchi ile imevulugika.
Mfano mwingine katolea nchi ya Brazili, kuwa Taifa hili limevulugwa na watu wasiozidi elfu 10,000 baada ya kuingia barabarani na kuandamana na kusababisha machafuko na nchi kutotawalika.
Mzee wa upako alirahani vikali opalesheni Ukuta iliyokuwa imetangazwa kufanyika tarehe moja September mwaka huu kwakusema, ilisababisha Taifa kukosa watalii kuja. kuangalia kupatwa kwa jua kule Mbeya kwakuhofia machafuko nchini nakuwataka wapinzani wasirudie kitendo hiki.
Mwisho Mzee wa upako ametangaza kutumbua majipu mpaka kanisani na ikiwezekana kukata mguu wenye jipu ili jipu litoke na mtu aweze kuishi, baada ya hapo alimalizia kwakuimba wimbo wa Tanzania.
Hongera sana mchungaji Lusekelo hakika umenena vyema.
Imeandaliwa na wenu,
MWITA NYARUKURURU
Mkuu ulijuwaje? Uliona ilikuwa aina gani maana zipo nyingi. Tuhakikishie ili tuwe tunamnunulia mtumishi wetu.hili jamaa linawekewagwa pombe kwenye pepsi pale golden tulip...jinga kabisa!!!
Kwa hayo maneno aliyoyasema tayari amekusanya mamilioni shilingi kama sadaka kwa hao kondoo waliopotea kwa kukosa maarifa akiwemo huyu mleta mada.Wachungaji wa shilingi wa kidigitali
Yeye anasema maisha yametulia sababu anajua ana uhakika wa kula kwa wale anaowadanganya kila siku
Wakati nikiwa mtoto nilikuwa nawashangaa watu wazima wasio na hela. Nikapenda nikiwa mkubwa niwe mwana mazingaombwe ili niwe natengeneza hela maana nilikuwa naona wanaokota magazeti halafu wanatengeneza hela.Watu wapuuzi wajinga kabisa. Eti anakuobea utajirike wakati yeye anakusanya elfu moja ya masikini. Si ajiombee atajirike. Mijitu inashindwa kujiuliza kama ana nguvu za hivyo mbona anakusanya hela yetu sisi masikini.
Siasa tupu !! Haki na sheria zinavyotenguliwa haoni ?MCHUNGAJI ANTONY LUSEKELO MAALUFU KAMA MZEE WA UPAKO AMEWATAKA WAPINZANI WASIVURUGE AMANI YA NCHI YETU.
Mzee wa upako aliyasema hayo katika Ibada takatifu tarehe 18september 2016 na baadae, mahubiri hayo kurushwa hewani na channel ten tarehe 22 September 2016.
Mchungaji Lusekelo aliwambia wahumini wake kuwa kwasasa maisha yanaenda vizuri na Rais Magufuli anafanya tulichokuwa tunataka kwa miaka mingi kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma.
Kuhusu swala la pesa kukosekana mtaani Mchungaji Lusekelo alisema nina nukuu "Pesa zipo mtaani kama kawaida lakini kwa watu wanaofanya kazi na sio wavivu, na zamani pesa zilizagaa kwa sababu ya ubadhilifu wa mali za umma" pia kasema yeyote anayelalamika ni yule aliyekuwa anapata pesa kwa njia zisizo halali.
Katika hatua nyingine Mchungaji Lusekelo alimtaka Dr.Magufuli asisumbuke kubadili pesa za nchi kwani fedha zipo mtaani na maisha ni mazuri tu hakuna ugumu wowote.
Pia aliwataka waumini wake wasijaribu kushiriki katika maandamano yeyote Yale na wala wasidanganyike kuchezea amani ya nchi kwa watu wenye uroho wa madaraka na kuwadanganya kuwa Magufuli kabana demokrasia wakati sio sahihi kabisa.
Mchungaji Lusekelo, alitoa mifano miwili ili kuwaelimisha wahumini wake, wa kwanza ni nchi ya Gaboni mzee wa upako aliwambia nchi hii imehalibiwa na watu wasiozidi elfu 3,000 kwa kuingia barabarani na kuanzisha maandamano na sasa nchi ile imevulugika.
Mfano mwingine katolea nchi ya Brazili, kuwa Taifa hili limevulugwa na watu wasiozidi elfu 10,000 baada ya kuingia barabarani na kuandamana na kusababisha machafuko na nchi kutotawalika.
Mzee wa upako alirahani vikali opalesheni Ukuta iliyokuwa imetangazwa kufanyika tarehe moja September mwaka huu kwakusema, ilisababisha Taifa kukosa watalii kuja. kuangalia kupatwa kwa jua kule Mbeya kwakuhofia machafuko nchini nakuwataka wapinzani wasirudie kitendo hiki.
Mwisho Mzee wa upako ametangaza kutumbua majipu mpaka kanisani na ikiwezekana kukata mguu wenye jipu ili jipu litoke na mtu aweze kuishi, baada ya hapo alimalizia kwakuimba wimbo wa Tanzania.
Hongera sana mchungaji Lusekelo hakika umenena vyema.
Imeandaliwa na wenu,
MWITA NYARUKURURU
Hongera sana Mch Lusekelo a.k.a Transformer! Ingawa kanisani si pa hala pa siasa ila ni muhimu kuwaelewesha kwani amani ikikosekana hata wewe huwezi kutoa huduma. cc BAK, Daudi Mchambuzi, Nyani Ngabu na wale wanafiki wote wa kila chama kilichokufa siku nyingi
Huyu naye ni mtu wa kuleta mahubiri yake hapa JF kweli. Amesomea wapi Theology ili awe mchungaji. Psychology kaisoma wapi ili aweze kuchagua maneno ya kuzungumza kwa wakati unaofaa. Mimi nikimkuta kichaa anampiga adui yangu sitafurahi maana naelewa nami naweza kupigwa tu.MCHUNGAJI ANTONY LUSEKELO MAALUFU KAMA MZEE WA UPAKO AMEWATAKA WAPINZANI WASIVURUGE AMANI YA NCHI YETU.
Mzee wa upako aliyasema hayo katika Ibada takatifu tarehe 18september 2016 na baadae, mahubiri hayo kurushwa hewani na channel ten tarehe 22 September 2016.
Mchungaji Lusekelo aliwambia wahumini wake kuwa kwasasa maisha yanaenda vizuri na Rais Magufuli anafanya tulichokuwa tunataka kwa miaka mingi kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma.
Kuhusu swala la pesa kukosekana mtaani Mchungaji Lusekelo alisema nina nukuu "Pesa zipo mtaani kama kawaida lakini kwa watu wanaofanya kazi na sio wavivu, na zamani pesa zilizagaa kwa sababu ya ubadhilifu wa mali za umma" pia kasema yeyote anayelalamika ni yule aliyekuwa anapata pesa kwa njia zisizo halali.
Katika hatua nyingine Mchungaji Lusekelo alimtaka Dr.Magufuli asisumbuke kubadili pesa za nchi kwani fedha zipo mtaani na maisha ni mazuri tu hakuna ugumu wowote.
Pia aliwataka waumini wake wasijaribu kushiriki katika maandamano yeyote Yale na wala wasidanganyike kuchezea amani ya nchi kwa watu wenye uroho wa madaraka na kuwadanganya kuwa Magufuli kabana demokrasia wakati sio sahihi kabisa.
Mchungaji Lusekelo, alitoa mifano miwili ili kuwaelimisha wahumini wake, wa kwanza ni nchi ya Gaboni mzee wa upako aliwambia nchi hii imehalibiwa na watu wasiozidi elfu 3,000 kwa kuingia barabarani na kuanzisha maandamano na sasa nchi ile imevulugika.
Mfano mwingine katolea nchi ya Brazili, kuwa Taifa hili limevulugwa na watu wasiozidi elfu 10,000 baada ya kuingia barabarani na kuandamana na kusababisha machafuko na nchi kutotawalika.
Mzee wa upako alirahani vikali opalesheni Ukuta iliyokuwa imetangazwa kufanyika tarehe moja September mwaka huu kwakusema, ilisababisha Taifa kukosa watalii kuja. kuangalia kupatwa kwa jua kule Mbeya kwakuhofia machafuko nchini nakuwataka wapinzani wasirudie kitendo hiki.
Mwisho Mzee wa upako ametangaza kutumbua majipu mpaka kanisani na ikiwezekana kukata mguu wenye jipu ili jipu litoke na mtu aweze kuishi, baada ya hapo alimalizia kwakuimba wimbo wa Tanzania.
Hongera sana mchungaji Lusekelo hakika umenena vyema.
Imeandaliwa na wenu,
MWITA NYARUKURURU
kujichubua lazima Mungu hapendi watu wachafu mchungaji yuko sawa.ananyoa punk anapokea sadaka mkononi, zile ni chakula chake,huyo ni transforma,kimbilio la wenyematatizo hali iliyopo ni njema kwake,manabii wa dizaini hiyo leo wameongezeka sana kwani kuna mavuno yasiyo na kodi.Kwanza mchungaji gan anae jichubuwa.....alipewa hongo ya barabara kesha sahau kila kitu
Magufuli kahudhuria ibada yake moja tu,tayari kesha muua mtu,ameshindwa hata kujitambua kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu asiyetakiwa kuonyesha hisia za kisiasa kwa upande mmoja kwa kuwa yeye ni wa watu wote ana chotakiwa ni kuwaombea watu wote bila ya kujali itikadi zao za kisiasa.MCHUNGAJI ANTONY LUSEKELO MAALUFU KAMA MZEE WA UPAKO AMEWATAKA WAPINZANI WASIVURUGE AMANI YA NCHI YETU.
Mzee wa upako aliyasema hayo katika Ibada takatifu tarehe 18september 2016 na baadae, mahubiri hayo kurushwa hewani na channel ten tarehe 22 September 2016.
Mchungaji Lusekelo aliwambia wahumini wake kuwa kwasasa maisha yanaenda vizuri na Rais Magufuli anafanya tulichokuwa tunataka kwa miaka mingi kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma.
Kuhusu swala la pesa kukosekana mtaani Mchungaji Lusekelo alisema nina nukuu "Pesa zipo mtaani kama kawaida lakini kwa watu wanaofanya kazi na sio wavivu, na zamani pesa zilizagaa kwa sababu ya ubadhilifu wa mali za umma" pia kasema yeyote anayelalamika ni yule aliyekuwa anapata pesa kwa njia zisizo halali.
Katika hatua nyingine Mchungaji Lusekelo alimtaka Dr.Magufuli asisumbuke kubadili pesa za nchi kwani fedha zipo mtaani na maisha ni mazuri tu hakuna ugumu wowote.
Pia aliwataka waumini wake wasijaribu kushiriki katika maandamano yeyote Yale na wala wasidanganyike kuchezea amani ya nchi kwa watu wenye uroho wa madaraka na kuwadanganya kuwa Magufuli kabana demokrasia wakati sio sahihi kabisa.
Mchungaji Lusekelo, alitoa mifano miwili ili kuwaelimisha wahumini wake, wa kwanza ni nchi ya Gaboni mzee wa upako aliwambia nchi hii imehalibiwa na watu wasiozidi elfu 3,000 kwa kuingia barabarani na kuanzisha maandamano na sasa nchi ile imevulugika.
Mfano mwingine katolea nchi ya Brazili, kuwa Taifa hili limevulugwa na watu wasiozidi elfu 10,000 baada ya kuingia barabarani na kuandamana na kusababisha machafuko na nchi kutotawalika.
Mzee wa upako alirahani vikali opalesheni Ukuta iliyokuwa imetangazwa kufanyika tarehe moja September mwaka huu kwakusema, ilisababisha Taifa kukosa watalii kuja. kuangalia kupatwa kwa jua kule Mbeya kwakuhofia machafuko nchini nakuwataka wapinzani wasirudie kitendo hiki.
Mwisho Mzee wa upako ametangaza kutumbua majipu mpaka kanisani na ikiwezekana kukata mguu wenye jipu ili jipu litoke na mtu aweze kuishi, baada ya hapo alimalizia kwakuimba wimbo wa Tanzania.
Hongera sana mchungaji Lusekelo hakika umenena vyema.
Imeandaliwa na wenu,
MWITA NYARUKURURU
CCM hatuna unafiki. Wewe fikiria jamaa zako walivyo waongo waongo halafu wewe unakubali tu. Hivi fisadi yule mkuu hajambo?Kama tunazungumzia unafiki ninyi mnaongoza mkuu.