Mchungaji Anthony Lusekelo awapa onyo CHADEMA

Mchungaji Anthony Lusekelo awapa onyo CHADEMA

Hivi na Mkuu wa nchi hana washauri?

Wakati ule alipokwenda kwenye ibada ya Jumapili kwenye kanisa la huyo 'chapombe' watu wengi tulimshangaa, kwa kuwa siyo kitu cha kawaida kwa muumini kwenda kwenye ibada kwenye dhehebu lingine.

Pamoja na hilo, hivi ni kwa nini watu wa 'Kitengo' hawakutimiza wajibu wao wa kumfanyia 'vetting' mzee wa Upako, kabla hawajamruhusu Bosi wao aende kwenye kanisa hilo?!

Sasa kwa tukio hili la Mchungaji Lusekelo kuwa 'njwii' siyo aibu kwa huyo 'mpiga maji' peke yake bali pia kwa Mkuu wa nchi ambaye alienda kwenye kanisa hilo la mpiga vitwanga.......
 
Leo anawaambia ccm waombe radhi za Kingunge na Lowassa.
 
Back
Top Bottom