Mchungaji Anthony Lusekelo awapa onyo CHADEMA

Au mnasubiri mpaka KKKT waseme neno? Unanikumbusha mambo ya Lowassa na walutheri 2015 kule Tabora. Maana ukianza na Lowassa, Mbowe, Sumaye wote wa KKKT.

Kwa sasa Mwenyekiti wa Umoja wa Jukwaa ka Kikristu ni Askofu Mkuu wa Lutheran.Na ndiyo msemaji Mkuu wa Jukwaa hilo.Ndiyo sababu ninemuongelea
 
katika jina la yesu wote nawaombea mpate magarial ahaaaaaaaa yesu subiri kurudi wapiga dili waendelee kuuza movie
 
Kwa sasa Mwenyekiti wa Umoja wa Jukwaa ka Kikristu ni Askofu Mkuu wa Lutheran.Na ndiyo msemaji Mkuu wa Jukwaa hilo.Ndiyo sababu ninemuongelea

Mchungaji Lusekelo sitoki and mkristo?
 
Mwisho wa ubaya ni aibu , kiko wapi sasa mkuu Lusekelo ?
 
hahahah et hongera wakati unajua kabisa kanisani si pa siasa na kila mtu ana uhuru wake hivyo hata kama akiwaambia nini kila mtu atachanganya na za kwake maana si lazima uchukue za kuambiwa.mtahema sana kipindi hiki kutoa elimu hata kusiko takiwa kama chama kimekufa mihemko na hekaheka za nini si itakua kama mnampigia mbuzi gitaa mnahangaika na mfu ?hahahaha shame on you kweli mfa maji haach kutapatapa.kaeni kimya basi muone mnajihami ya nini?
 
Mauaji ya kimbari Rwanda yalianzia kwa hizi hotuba za makanisani.
 
maneno yako
si ya bbusara hata kama ni mahaba niue.Hakuna kizuri kisicho na kasoro yeye pia ana mapungufu yake hivyo wanaokosoa ndo wanaona.we kama unamwona mzuri mkeo au mmeo usilazimishe mwengine kumwona hivyo.
 
Eti kumbe anapiga divai au? Mleta hii mada ungetuambia na hilo, uenda matamko yake anakuwatayali kapata divai tena sijui kama ile ya harusi ya Kana au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…