Mchungaji akikemea pepo la ngono.

Mchungaji akikemea pepo la ngono.

Haa haa...yaani umenifanya nicheke mpaka naonekana mjinga.....sasa hayo mapepo yakiwa kaidi, kuna kitu watu watasikia zaidi ya hayo 'mabomu' anayorusha mchungaji?!

We acha tu... ukiwa na Imani haba unaweza toka nduki... sema sisi tuliomzoea huwa tukiona mzuka umempanda tunaanza kupiga mapambio....... kidogo yanakuwa hayasikiki saana...otherwise duh...!!!
 
Hahahaha nimecheka sana amejuaje huyo pepo anaka humo
 

mchungaj.jpg
Ndibalema, hapo umenihamasisha kusomea uchungaji ila ni kama hayo mapepo ya ngono ndipo yanapo kaa
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha...., dah! hii kali. huyo mchungaj ngekuwa mwanaume lazima angenyanyuka hapo suruali imetengeneza skwea...
 
Mhm! Hii style ya kutoa pepo inashangaaza tena inaduwaza
 
Jf vituko huwa haviishi nimecheka mpaka watu wamegeuka kuniangalia
 
Hapo si ndo pa kuchomekea chaji so panahusika moja kwa moja na anapokaa pepo.
Ndibalema umenichekesha sana, kwamba ndipo pa kuchajia , au ????, Halafu sasa wasiwe wana vaa ma jeans hayo ndio maombezi yataenda sawa
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh teh... jamaa hapo kwenye kiatu cheusi imesimama ....
 
Mapepo yanapenda sehemu zilizojificha, zenye giza na unyevunyevu, tena ningekuwa mimi hapo ningembeba hadi kwenye chumba chenye giza, kwani dawa ya moto ni moto na ukilegeza hayatoki.. Kuna Mkurya nilimsikia akikemea "Pepo toka k....mako, nasema toka,....."

Ahahaahahahaaaaaaa!!!!Baba v bana buyo mchungaji mkurya kanisa lake linaitwaje?
 
Back
Top Bottom