Mchungaji akikemea pepo la ngono.

Mchungaji akikemea pepo la ngono.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664

mchungaj.jpg
 
Hahahaaaaaaa,bora pepo huyo atoke maaana ...lol
 
Ha ha haaaa! Nitafutie picha ya mchungaji akitoa pepo la Cameron(bwabwa/ushoga) kwa muumini!
 
Kazi ya kutoa mapepo ni ngumu saana, inabidi kuwa mbunifu... Hongera mtume na nabii...
na kweli. nasubiri siku ambayo atawatoa mapepo wanaume ili nami nijisogeze eneo la tukio nikapate huduma yake.
 
Sasa kumshika mwenzie kwenye........khaaaa!!
 
Hivi kama mtumishi ni wa kiume na pepo mbishi say inachukua dakika arobaini!!!!!!!

Aaanh waumini waende na pads bhanaa
 
Kumbe mapepo ndo yana kaaga hapo!!!!

Mapepo yanapenda sehemu zilizojificha, zenye giza na unyevunyevu, tena ningekuwa mimi hapo ningembeba hadi kwenye chumba chenye giza, kwani dawa ya moto ni moto na ukilegeza hayatoki.. Kuna Mkurya nilimsikia akikemea "Pepo toka k....mako, nasema toka,....."
 
Back
Top Bottom