Mchungaji akikemea pepo la ngono.

Mchungaji akikemea pepo la ngono.

Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza kinene...ni vyema kuficha upumbavu wako na kuonesha werevu.

:amen:
Mkuu kwani siwezi kuwa mchungaji kama Gwajima?
 
Mapepo yanapenda sehemu zilizojificha, zenye giza na unyevunyevu, tena ningekuwa mimi hapo ningembeba hadi kwenye chumba chenye giza, kwani dawa ya moto ni moto na ukilegeza hayatoki.. Kuna Mkurya nilimsikia akikemea "Pepo toka k....mako, nasema toka,....."

Ha ha ha Baba V huyo mchungaji ni wa kanisa gani?
 
Last edited by a moderator:

mchungaj.jpg

...wote jinsia moja !
mchungaji mwanamke, na mtolewa pepo mwanamke: +- = 0
 
Natamani ningepata hiyo fursa ya kumtoa huyo mrembo mapepo.

Yangetoka yote na ya akiba.
 
Ha ha ha Baba V huyo mchungaji ni wa kanisa gani?

Aisee ana kanisa lake Majohe kule.... ni balaa mkurya yule.... nahisi hadi mapepo yenyewe yakimuona yanamhara...
 
Last edited by a moderator:
Aisee ana kanisa lake Majohe kule.... ni balaa mkurya yule.... nahisi hadi mapepo yenyewe yakimuona yanamhara...

Haa haa...yaani umenifanya nicheke mpaka naonekana mjinga.....sasa hayo mapepo yakiwa kaidi, kuna kitu watu watasikia zaidi ya hayo 'mabomu' anayorusha mchungaji?!
 
Ndo benefit za mchungaji jamani!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Khaaaaa huyo mchungaji anatisha aisee... nimemkubali natamani angeniombea mimi kidume halafu ashike ubingile wangu
 
Back
Top Bottom