Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 1,571
- 3,214
Kajambiwe sasa update upakoNEVER
Kajambiwe sasa update upakoNEVER
Hahahahahaaaaa 😆😆😆😅🤣😂Kajambiwe sasa update upako
Wazungu na waarabu walituweza,kupitia haya tunaweza kujipima ujinga wa baadhi yetu.Wazungu walituweza aisee
Naomba kuuliza..Ukristo siyo dini, njooni kwenye Uislamu
Atanilipa mungu thawabu na pepo inshaalahNaomba kuuliza..
Mfano wakija kwenye uislamu wewe binafsi utapata faida gani?
Sawa mkuu. Maana hata wakristo nao wanaambiwa hivyo hivyo. Sijajua ni kwanini?Atanilipa mungu thawabu na pepo inshaalah
Sahihi.wakati ulaya wanafunga makanisa!!!!