Mchungaji Ajambiana Kanisani Kuponya

Mchungaji Ajambiana Kanisani Kuponya

Wamekubali kujambiwa na mtumishi wapate upakoo
Ujinga huu ukifanywa na wakristo nashangaa sana, inakuwaje wasomi wanakuwa wajinga hivi?
Iyo ni Imani mkuu, Imani haina msomi wala mbumbumbu.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wagalatia kuna muda tunazingua!!!!
Sasa hivi ukisoma bible yesu au mtume yeyote aliwahi kuuza maji ya upako?
Au kujambia watu ili waokoke?
Na mengine mengi wanafanya hawa mitume ni useless kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Haya sasa Kula shuzi Hilo ukapate mke😂😂😂😂😂😂😂
Ushuzi wa pasta unaongeza nguvu za kiume.
 
Tusindikize uzi huu na Nukuu hizi:

"The awful thing is that beauty is mysterious as well as terrible. God and the devil are fighting there and the battlefield is the heart of man.”

"So long as man remains free he strives for nothing so incessantly and so painfully as to find someone to worship.”

Fyodor Dostoyevsky,
The Brothers Karamazov.
 
Sema ujinga ni ujinga tu hata usipoonyesha ujinga wako kwenye dini utauonyesha hata huko kusiko na dini, kuna watu wanaonyesha ujinga wao kwenye siasa n.k
 
Walokole mtafika huko muendako mkiwa mmechoka mno🙄
 
Wenzetu wana mbinu nyingi za kuponya
Na hii sijui imetoka kwenye kitabu kipi
Bwana Yesu alitema mate akatengeneza tope akampaka usoni yule kipofu akapona. Na mwishoni mwa huduma zake alisema yeye alifanya miujiza mingi lakini watakao kuwa na Imani ya dhati wataweza kufanya na zaidi. Kwa hiyo labda jamaa huyo kajiongeza kwa neno hili.
 
Bwana Yesu alitema mate akatengeneza tope akampaka usoni yule kipofu akapona. Na mwishoni mwa huduma zake alisema yeye alifanya miujiza mingi lakini watakao kuwa na Imani ya dhati wataweza kufanya na zaidi. Kwa hiyo labda jamaa huyo kajiongeza kwa neno hili.
Kwa kujambia watu 😳
 
Kitu kimoja ambacho tumefanikiwa ni kuleta dalili ya kile ambacho unakileta kwetu

Sisi hatuangalii Sheikh fulani kasema nini,tunaangalia je sunna za Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake zilisemaje kuhusu ibada fulani

Je,qur'an inasemaje hapo ndipo Uislamu ulipofanikiwa
Kweli kabisa. Bid'aa ni za kupigwa vita, hazipaswi kupewa nafasi.
 
Ndio maana wagalatia tunabezwa, kudharauliwa na kuchekwa japo dini yetu ndio ya kweli. Cha kuhuzunisha wafuasi wa dini ya kusadikika na mungu wa kusadikika wana nidhamu na heshima ya hali ya juu kwenye ibada zao japo hizo sala zao zinaishia hewani.
Hama timu kiongozi, tutakupokea kwa mikono miwili na utakua ndugu yangu katika imani
 
Back
Top Bottom