Mchungaji ahubiri akiwa kabebwa mgongoni

Mchungaji ahubiri akiwa kabebwa mgongoni

Kweli wameshikwa wakashikika sasa watasubiri miujiza bila kuchemsha bongo duu mpaka raha.
 
Hilo kanisa limekaa kama kibanda cha mganga wa kienyeji.

Hao nao akili zao ni kama za kondoo tu.........watakuja kufanyiwa mambo ya ajabu siku nyingine wasipo kuwa makini.
ha ha ha aaaaaaaaa

Dini ni ujinga,

watu wanafundishwa ujinga, wanaamini ujinga

na ujinga wenyewe ndio km huo hapo,

kila siku nasema waganga wakienyeji na dini wote ni wamoja, wote wanauza pepo
mfano wa mafarisayo na masadukayo

majuzi ulisikia yule wa afrika kusini? amewanywesha watu petroli,
km makondoo wanakimbilia na kunywa,
 
Huyo wa SA aliwahi kumgandamiza muumini kwa speaker kisha kukalia juu yake akidai eti kwa uwezo wa Mungu muumini hatopata maumivu.

Gafla muumini akafariki na mchungaji alimlaumu kwa kutokuwa na imani..........Ukiona mtu anaamini dini kwa 50% jua akili yake inafanya kazi kwa 50% zilizobakia.........anayeamini kwa 80% huyo anatumia 20% ya akili yake.
 
mkuu siku ujinga ukiondoka miongoni mwa binadamu

ndio itakuwa mwisho wa dini ku survive
 
Mbona hiyo picha ya Kwanza anambaishia mwenzake hapo?!
 
mkuu siku ujinga ukiondoka miongoni mwa binadamu

ndio itakuwa mwisho wa dini ku survive
Kweli kabisa! kama dini zingekuwa kama siasa kwamba unaruhusiwa kujihusisha nazo ukiwa na miaka 18, kizazi chetu kisingezikuta hizi dini.

Wengi wanazing'ang'ania kwa maana walizifundishwa tangu utotoni na kwa vitisho.
 
Kwa akili za kawaida za kibinadamu huwezi,hapo mpaka upumbazwe kwa njia yoyote ile ya kiuchawi ndio uweze kuwa muumuni wa hapo na kukubali kufanyiwa hayo.
 
Back
Top Bottom