Mchungaji ahubiri akiwa kabebwa mgongoni

Mchungaji ahubiri akiwa kabebwa mgongoni

Wajinga ndio waliwao. Ni mwendelezo wa kupungua kwa imani na elimu kwa waumini wa kikristo ambapo waumini wamekuwa wakiamrishwa kufanya chochote kile anachoka mchungaji.
b35e1b8c90aa5543dc18de9941c954de.jpg

Pathetic! Sanaa na usanii katika ubora wake! Ama kweli "wajinga ndio waliwao"!
 
hapa ndo nalikumbukaga hili neno la YOHANA alafu nabaki nacheka tuu



1 Yohana 4:1
[1]Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
 
Hao waumini, hawana tofauti na Bavicha.

Kazi yao kushangilia tu, kila kinacholetwa na mfalme.
 
Hao waumini, hawana tofauti na Bavicha.

Kazi yao kushangilia tu, kila kinacholetwa na mfalme.
Bavicha usiilinganishe na vitu vya kipuuzi puuzi kama Uvccm na hao wajinga wajinga wenzeni wamebeba njema mgongoni
 
Kama watu wameridhia hakuna tatizo.
Mbona wanasiasa tukishawachagua wanajipangia marupurupu makubwa ambayo huwezi kuyalinganisha na kubebwa kwa huyo mchungaji.
Hao wanaotandika migongo yao ni sehemu ya management team ya Mchungaji.Wako salaried hao.Waangalie vizuri has a huyo kwenye nguo nyeupe.Utakuta kabla ya kuegesha migongo yao wanafanya mazoezi ya kunyanyua vyuma.
 
Hilo kanisa limekaa kama kibanda cha mganga wa kienyeji.

Hao nao akili zao ni kama za kondoo tu.........watakuja kufanyiwa mambo ya ajabu siku nyingine wasipo kuwa makini.

Watu hawa ndio siri ya ushindi wa ccm
 
Watu hawa ndio siri ya ushindi wa ccm
Kweli kabisa Mkuu...........ujinga wa wengi ni mtaji wa wachache kama vile viongozi wa dini kama hawa na wanasiasa specifically wa CCM.
Hawa ndo wanaobadilisha kura kwa kofia na T-shirt.

Pia nahisi hiki ndo kizazi ambacho Babu zao walibadilisha mashamba kwa vioo.........Stupid to the molecular level.
 
Wajinga ndio waliwao. Ni mwendelezo wa kupungua kwa imani na elimu kwa waumini wa kikristo ambapo waumini wamekuwa wakiamrishwa kufanya chochote kile anachoka mchungaji.
b35e1b8c90aa5543dc18de9941c954de.jpg

Hili Kanisa ni hapa hapa Tanzania?
Pia Watanzania wafuasi wa CCM na CHADEMA na wa vyama vingine wote wanasali humo?
 
kinachofuata wataambiwa vueni nguo nao watavua tena pamoja na wake zao na watoto
 
Back
Top Bottom