Mchungaji ahubiri akiwa kabebwa mgongoni

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Wajinga ndio waliwao. Ni mwendelezo wa kupungua kwa imani na elimu kwa waumini wa kikristo ambapo waumini wamekuwa wakiamrishwa kufanya chochote kile anachoka mchungaji.
b35e1b8c90aa5543dc18de9941c954de.jpg
 
Hilo kanisa limekaa kama kibanda cha mganga wa kienyeji.

Hao nao akili zao ni kama za kondoo tu.........watakuja kufanyiwa mambo ya ajabu siku nyingine wasipo kuwa makini.
Kwani hili ni la kawaida?,kumkanyaga mtu mgongoni huku akizunguka here and there?
# Tuna tatizo la uelewa kama nchi.
 
Kama watu wameridhia hakuna tatizo.
Mbona wanasiasa tukishawachagua wanajipangia marupurupu makubwa ambayo huwezi kuyalinganisha na kubebwa kwa huyo mchungaji.
 
Nyakati za mwisho wengi wataita bwana bwana lakini hawataingia kwenye ufalme wa mbinguni
 
Hii kitu nina uhakika hata Mungu itakua imemchekesha sana......



Hahahahahahaaaa hawa watu jamaan hahahahaaaaaaaaaaa lol
 
Huyo Mchungaji au Mganga wa kienyeji?

Wajinga ndio waliwao. Ni mwendelezo wa kupungua kwa imani na elimu kwa waumini wa kikristo ambapo waumini wamekuwa wakiamrishwa kufanya chochote kile anachoka mchungaji.
b35e1b8c90aa5543dc18de9941c954de.jpg
 
Hii habari ilikujaga humu mwaka Jana mwsnzoni au mwaka juzi kama sikosei, watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Back
Top Bottom