Mchungaji Agongelewa Msumari Mdomoni Kisa Kuimba Mapambio

Mchungaji Agongelewa Msumari Mdomoni Kisa Kuimba Mapambio

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,681
Mchungaji mmoja nchini Uganda amejikuta akizamishiwa msumari kwa nyundo mpaka kutoboka mdomo baada ya kupita mitaani huku akihubiri injili na kuimba wimbo wa mapambio unaomsifia Rais Museveni wa Uganda.

Mchungaji huyo alipiga kelele za kuomba asaidiwe baada ya kuvamiwa na vijana wakimhoji juu ya uhusiano wake na mtu anayewatesa ambaye ni Museveni.

Alijikuta yupo chini huku mdomo ukiwa umetapakaa damu na msumari ukisalia mdomoni.
 
Yuko wapi sasa huyo mchungaji tumuone?Hata ka pasipot saizi.
 
Kwamba alishindwa kuwaeleza yeye na mseven wana uhusiano gani
 
Badirisha heading basi,weka kabisa akimuimbia m7

JESUS IS LORD[emoji120]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom