Whats bad na kibaya kabisa investments nimefanya mm mwenyewe ata kabla cjapata ajira aisee kabadilika yan tuongee stori nyingine sio pesa
Unajua nilitaka kumshauri huyu dada lakini naona hata maana ya ndoa hajui ....
Kuna mambo mtu unapaswa kuyajua kwanza kabla ya kufikiria ndoa sasa huyu naona kama bado kabisa .....
Yaani mtu hataki muwe kitu kimoja kwenye suala la muhimu kama pesa halafu unataka kuingia nae kwenye ndoa?
Inashangaza sana......!!
Kabisa mkuu ....Ni kweli! Ndoa ni muunganiko wa watu wawili unaojumuisha vitu vingi vinavyopaswa kuwaunganisha hao watu wawili. Kama kitu cha msingi kama pesa kinakuwa chanzo cha mfarakano mkubwa, kuna vingapi vikubwa vitakavyotokea mbele ambavyo havitabiriki? Huo muunganiko wa watu hawa wawili utaweza kweli kuvivuka?
Kama Mume mtarajiwa tu anashindwa kutambua majukumu ya kifamilia na hataki kubadilika pamoja na kushauriwa, kuna maana gani ya kuingia kwenye ndoa? Huko si ni kutafuta stress tu?
Inaonekana huna uwezo wa kuelewa mambo rahisi wewe ....Kwa uzoefu neno KIJANA linapotumika peke yake huwa linaashiria ME. Na hapo kwenye maelezo yake AMESHANITOLEA mahari inaonyesha kana kwamba mwanaume kasaidiwa kutoa mahari na binti... Pitia vizuri hii mada utanielwa kwa nini nilimuuliza kama yeye ni Me au Ke?!
mama wa kichaga
Yani ndugu yangu umeshakosea kiasi kwamba hata sijui nakushauri vipi, ila ni mwiko kwa mwanamke kuanza kushirikiana au kumshirikisha mwanaume kwenye maswala ya mali kabla hajakuoa, na hata baada ya ndoa una msoma kwanza mwenzio ni wa aina gani then ndo ufanye maamuzi kama anafaa kushirikiana nae kwenye mambo ya mali,
ndo mana utakuta wanawake wengi either anafanya mambo yake kwa siri au anafanya na mwenzie ila still kuna vyake vya siri hata kama ni kimoja ila hatujiachii 100%, sasa wewe mwenzangu umeshajiingiza kwenye janga ambalo litakukost zaidi huko mbeleni, cha msingi anza kutafuta vyako kuanzia sasa hivyo ambavy umeshamshirikisha samehe tu na uendelee
mama wa kichaga we ni ME au KE???!