Mchumba wangu ni mbinafsi na bahili sana

Mchumba wangu ni mbinafsi na bahili sana

hamjaoana umeshafanya investment pamoja?........ anafanya hivyo kwa sababu ameshika mpini ukicheza unajikata
 
sir ya utajir ni ubahiri according to nikk wa pill,,,,,,,but sio vzur kuwa mbahil kwa mkeo mtarajiwa cha msing kaen chn muweke mambo sawa kabla ya ndoa
 
Jiandae kwa kazi. Huyo ni mchwa atakula vyako mpaka ashibe
 
Hilo ni tatizo la weng dada.. heri uvumilie tu maana cjui utaacha wangapi, ukitafuta huyo unaemtaka. Maana hutakaa umpate kamwe, ukimpata anaejua kutoa bas utamkuta na mapungufu mengne ambayo hakuwa nayo wa kwanza. Hivyo vumilia tu km tatzo ni hilo tu.!! Jitahid kukaa nae na kumueleza hilo dukuduku lako kwa upole tn na kwa hisia kuwa kitu hiko hukifurahii, kana kwmba mpk unataman tu akuache, km n mwanaume anaekupenda na kukujal kwa moyo wake wote bas atajitahidi kuanza kubadilika taratibu.!!
 
Yaaan sipendi lijimwanaume bahili mungu pitisha mbali na mm
 
Kama wewe ni mchaga kama username yako basi najua tatizo lipo kwako hasa kama mchumba wako sio mchaga, yaani issue inayokuuma ni kwa vile huyo jamaa haendeshwi kama boya na hilo ndilo linalokuuma.

Me sio mchaga wala me ni mmasai mwenzangu ndo mchaga
 
mnataka kufunga ndoa au kukamilisha taratibu?
kwakuwa umeshazaa nae basi mvumilie mana hakuna aliekamilika
 
Hizo investments mmefanya ama amefanya?! Beware!

Proceed with caution...
 
Hiyo tabia sio nzuri, na hasa kwa watu wawili wanaoishi pamoja au kutegemea kuja kuishi pamoja na kushirikiana ktk mambo yote, ni mbaya na itapelekea maisha ya mabaya sana (tena hakutakuwa na maisha hapo), cha kufanya ni kumwambia na kutafuta njia za kumsihi abadilike, lakini akiwa mtu muelewa atabadilika, tatizo linakuja kama mtu mwenyewe sio muelewa. Pia endelea kumuombea tu ili Mungu ammsaidie kubadilika, maana hakuna namna hapo. Ila tambua kama ataendelea kuwa hivyo ndoa inaweza kuwa na wakati mgumu hapo badae. Kila lakheri, mimi naamini zaidi ktk kuomba kwanza na zen kutafuta namna ya kusolve tatizo.
 
hata usimuache....mwanaume atakusumbuaje kirahc hvyo cha msingi kila mtu acontrol invstment yake kwenye mtoto mnapangiana tu kwa mwez anatumia kiasi gan mnajua mnatoaje wala hata asikusumbue.kama mnacontrol invstmnt nyingine pamoja mahesabu yanaonekana kila mtu anachukua yake as long as amekuwa msumbufu no way out.......hapo sasa ikishindikana let him go.

halafu nahisi ulimuendekeza wewe mtu hawez kukupanda kichwani namna hivyo...
 
Maswala ya kujiachia kwa hawa viumbe hatar sana ... mwanzo uliharibu mwenyewe kujikabidhisha kila kitu kwake.. fanya mchakato wa kuolewa na kuanza investment nyingine uwe unashika hela wewe .. ha ha ha nimekumbuka jambo .. ila lazima yuwekane sawa mwanzo wa mahusiano.aisee
 
Kaa chini uongee nae, asipokuelewa ita wazee wake na wako na akiwa bado mbishi Nakushauri uwe na subira kuingia katika ndoa na huyo jamaa.
Kuna vitu unaweza kudhani ni vidogo ukavipuuzia sasa lakini baadae vikawa chanzo cha kuiona ndoa chungu

sasa wazee wanahusikaje hapo, waje kutatua nini?? aelewe kuwa ndio tabia za huyo jamaa yake......ndoa ni hiyari!!!
 
Maswala ya kujiachia kwa hawa viumbe hatar sana ... mwanzo uliharibu mwenyewe kujikabidhisha kila kitu kwake.. fanya mchakato wa kuolewa na kuanza investment nyingine uwe unashika hela wewe .. ha ha ha nimekumbuka jambo .. ila lazima yuwekane sawa mwanzo wa mahusiano.aisee

Wewe ndio mshauri wao kwahiyo wanaume ni viumbe hatari.....hela haruhusiwi shika mpka apate uzoefu
 
Back
Top Bottom