mama wa kichaga
Member
- Jun 13, 2015
- 7
- 1
Habari wana jamii,
Mimi ni msichana wa miaka 29 naishi Morogoro nafanya kazi katika Taasisi fulani ya fedha nina mchumba ambae tuna mahusiano huu mwaka wa tatu sasa.Tumebarikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume bado mdogo, mwenzangu anafanya kazi Dar es salaam. Kikubwa kilichonifanya niombe ushauri ni kuwa mwenzangu anajipenda sana namaanisha vitu vyake ni vyake pekeake ila vyangu tutumie wote.
Sio kwamba hana pesa, hapana ana hela nyingi na tumefanikiwa kufanya investments nyingi ila pesa yote anashika mwenzangu. Kifupi ni mchungu na mbahili sana hata kwangu na mwanangu. Ukizingatia ameshanitolea mahari kwetu tupo kwenye taratibu za ndoa. Kiukweli uwa inaniumiza sana hadi nawaza niahirishe hiyo ndoa.
Naombeni ushauri wadau