Tamaa mbaya, unaonekana unapenda sana vya mteremko, ulijua umepata kumbe umepatikana. Mfuate mwambie ulijua kama ni yeye kwa hiyo ulitaka kuona je angekuja guest kweli. Lakini kwa sababu hujaja sasa unamuamini zaidi.
Ha ha ha.. Jaribio dogo tu umefeli Mkuu.. Kuna wakati huwa tunajipimia mitihani ya kuwapa wenziwetu ili tuweze kuwaamini.. Kama ni mwanamke mwenye msimamo huyo hatataka tena kuwa na wewe na yuko sahihi kabisa..
Haiwezekani uingizwe mkenge kiulaini namna hiyo wakati wewe ni mtoto wa kiume..
huyu kashalikoroga......ajitahidi tu alinywe.....