asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
pole kwa uwezo wa mungu mtapata watoto
Watapata mtoto kivipi?
pole kwa uwezo wa mungu mtapata watoto
Ish!!!....how?
Kwa imani.With God everything is possible.Ndio maana anaitwa Mungu
ramli at workIsh!!!....how?
Habari waungwana, naomba kusaidiwa kimawazo nifanye nini katika hili.
Nina mchumba wangu ambaye tumekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka miwili na nusu, japo sijawahi kujitambulisha kwao mpango wa utambuzi ulikuwa ni mwezi huu wa November na mipango ilikuwa ishawafikia wazazi.
Hivi majuzi mchumba wangu aliugua gafla tumbo na baada ya vipimo alilazimika kufanyiwa upasuaji uliopelekea kuondoa mfuko wa uzazi ili kunusuru maisha yake.
Ukweli nimechanganyikiwa nini nifanye, hasa ikizingatiwa tunapendana sana.
Lakini nawaza je, ndo hatutapata familia yenye watoto kabisa kama tutaoana? Tafadhali hebu nijengeni kifikra.
nakushauri usimwache kwamaana imani yako ndo itawapa faraja na kukaaa kwa amani.kwa mungu hakuna linaloshindikana kwa maana mkiamua kukaa pa1 mnaweza hata mkawachukua watoto ktk vtuo au wanaoishi ktk mazingira magumu na mkawalea kwa furaha kama watoto wenu maana nyote mnajua nini mnafanya!!!
unaambiwa kizazi kimetolewa! imani hiyo imani gani yenye kumwezesha.mtu kuzaa pasipo kizazi?
Ish!!!....how?
Inawezekana na nimeshuhudia kwa macho yangu , kama aliweza kumfufua aliyekufa kabisa na alizikwa na still akafufuliwa. Why mungu ashindwe sasa, why?. Mjaribuni mungu nae hatokuwa mbali nawe.kuna couples wako pitia zaidi ya hili, huyo Dada aliondoshwa kizazi, pamoja na multiples other surgeries , walimlilia mungu na amewabariki 3 children naishi now hapa majirani zangu do what are u talking about. People God is still alive. Kwa sababu ya dhambi zetu hatuwezi kumuona mungu kirahisi akitenda miujiza . Asante!
Pole sana ndugu yangu.
Sijaelewa kama hicho kizazi kimeondolewa completely au partially kwa maana kizazi cha mwanamke kinajumuisha sehemu mbali mbali, na mara nyingi tuna refer UTERUS, sasa kama ovary bado zipo still kunaweza kuwa na hope kama ukiwaona ma specialist kwa maana kama anauwezo wa kuzalisha MAYAI, basi yai lake linaweza kutolewa na likapandikizwa kwa mwanamke mwingine pamoja na mbegu zako au kwa njia ya tube kwa kitaalam wanaita IVF au In-Vitro Fertilization.
Daaah hii imani......
Thanks, nimekupata boss
Hata Mimi nineshangaa Sana. Imani hii dah...kizazi kimetolewa completely afu unaniambia " kwa imani" duuh!