Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

Huyo mdada ni mke wa mtu, ukilogwa umuoe itakuwa umeoa mke wa mtu. Nakushauri piga chini kama ulikua na side chick mpandishe cheo maisha yaendelee, ila usifanye kisasi kwa huyo dada.
 
Lililonikuta,,, kufanya maamuzi

Mbona maamuzi ulishayafanya ndugu? Ulimpa nauli, hukutaka hata mazungumzo, ameondoka.

Ni maamuzi gani zaidi?

Nadhani unaumizwa na hisia za kuwa bado ulimpenda. Kuna mawili;

1. Kama ameomba msamaha na kujielezea kinaga ubaga, ukamuelewa, basi kwa kuwa moyo wako umeshapenda amua kusamehe na kuoa.

2. Kama umeona hilo ni kosa kubwa (wazungu wanaita deal breaker) basi achana naye. Najua kuna phase ya 'withdrawal symptoms' ama alosto. Itapita. Be busy na mambo mengine. Jizuie kabisa kumtafuta na kama yeye ndiye anakutafuta basi mweleze kwa upole tu kuwa wewe na yeye basi. Futa mawasiliano yenu (haimaanishi mnakuwa maadui), futa kumbukumbu na uanze safari upya.
 
Kama kwa umri huo bado unajiita mvulana !!!! Huyo dada hana makosa kumkumbuka ex wake.....
 
Na bado unamuita mchumba wako? Hahahaa kuna mahali unashida kwenye ufahamu wako mkuu.

Huo uamuzi ulioufanya wa kumrudisha kwao ni wa busara na wa kiume zaidi.

Kuchanganyikiwa ni lazima maana haiepukiiki lakini vumilia baada ya Muda utakuwa sawa na kuendelea na mapambano ya maisha.
 
Alafu hapo mbaya zaidi ukute huo mtulinga wa jamaa aliomtumia mpenzi wako ni mkubwa kuliko wako ndio hapo siku utaiona ni mwaka...
Jamaa umefikiriaa kitu kikubwa sanaa..unahisi kudataa aisee.. Manaa anaweza kujibu jeuri kumbe anajua jamaa ataenda kumpa hogo lenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom