Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

Ningekuwa wewe hata nisingepoteza MB zangu kuja kuuliza hapa. Automatically she is disqualified. Sijajua unataka nini wakati fika huyo hakufai. Mabinti wako wengi ila wake wa kuoa ni wachache. Kazi ipo kwa kizazi hiki cha Smart phones a.k.a Android.
 

Humu ukitaka kuleta jambo uwe tayari pia kupokea kila litakalojitokeza kuhusu jambo lako.

Hapa tunampa ukweli kabisa, na umri huu hawezi kujiita Mvulana na kushindwa kutatua jambo lake huko.
Hahaha ila kweli sio mvulana na inawezekana aliamini kabisa kuwa ataoa huyo Dada
 
Salaam wanabodi,,,
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 31 niko kwenye mahusiano na mdada flani huu ni mwaka na miezi 4 na nilipanga mwezi wa 7 nipeleke posa nimuoe,,!!! Tatizo huwa hatukai pamoja tuko mikoa tofauti hivyo mara kwa mara yeye huwa anakuja kila akipata nafasi'' wiki 2 zilizopita alikuja kwangu kwa bahati mbay niliomba simu yake kuna kitu nilikuwa naangalia "Lahaullah" sikuamini nilichokiona. ,,nimekuta kuna jamaa wanatumiana picha za utupu,,yaani yy anatuma uchi wake na yy anatumiwa mtulinga wa jamaa!! Nashukuru sikufanya chochote kibaya zaidi ya kumpa nauli arudi alikotoka!! Napata wakati mgumu sana wandug
Ungeweka picha hizo hapa ingependeza zaidi
 
Shukuru kuwa bado hujamuoa. Maana ungegundua haya punde tu baada ya kufunga ndoa, ingekuwa balaa sana.
 
Duuhh sidhani kama kuna mwanamke dunia ya leo utampata hana makandokando yake!!!wanaume tunaomba na kutamani kupata mwenza aliekamilika lakini ya mungu mengi sana hakuna wa aina hiyo utampata!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom