Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

Salaam wanabodi,,,
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 31 niko kwenye mahusiano na mdada flani huu ni mwaka na miezi 4 na nilipanga mwezi wa 7 nipeleke posa nimuoe,,!!! Tatizo huwa hatukai pamoja tuko mikoa tofauti hivyo mara kwa mara yeye huwa anakuja kila akipata nafasi'' wiki 2 zilizopita alikuja kwangu kwa bahati mbay niliomba simu yake kuna kitu nilikuwa naangalia "Lahaullah" sikuamini nilichokiona. ,,nimekuta kuna jamaa wanatumiana picha za utupu,,yaani yy anatuma uchi wake na yy anatumiwa mtulinga wa jamaa!! Nashukuru sikufanya chochote kibaya zaidi ya kumpa nauli arudi alikotoka!! Napata wakati mgumu sana wandug
Mvulana wa miaka 31????
Huyo mwanamke ana haki ya kufanya hayo

You need to be a man. Ondoka huko kwenye uvulana uone kama utakuja hapa kulia lia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom