Kritika hyo lipsi niaje!? MashallaaahPole ndugu,mapenzi ni art

Kweli dada,,, kinaniumiza zaidi muda niliopoteza kwakeHuyo si mchumba wako
Nashukuru mkuuNdio maana wakubwa wetu waliotutangulia wanatuambia tuchunguze kwanza watu kabla hujaoa tunawaona wazee. Anyway umemkamata mtu wako na kidhibiti kwa hiyo maamuzi unayo,tunaweza kukwambia umuache kesho mkapeana mapenzi baadae ukatuona sisi ndo wabaya.MAAMUZI NI YAKO UENDELEE AU UACHE NI WEWE.
Lililonikuta,,, kufanya maamuziUnapata wakati mgumu kwenye nini hasa? Nachelea kufanya assumptions...
gu kwa kila jambo, endelea na maisha.Kweli dada,,, kinaniumiza zaidi muda niliopoteza kwake
Pole sana mkuu huyo mchumba hafai








Maana nahisi umedata nae sanaaHGL? AU HKL..??Pole ndugu,mapenzi ni art
AsanteMshukuru Mun
gu kwa kila jambo, endelea na maisha.
Sijadata ni kawaida tuKama huyo Ni Mchumba wako na alikuwa anajua mna mpango wa ndoa Pole sana maana HAKUNA KITUU HAPOOO...na hakufutaa sio kwamba kasahau no hajali yanii hata kama ukionaa...!! Sasa wew nahisi unampenda kufaa pole sana mzee.... Kama una moyo wa Kiumee... MPOTEZEEEE alafu hizo picha ungezichukua siku akikuuliza why umemuacha bila sababu Mtumie hizo Pichaa Mpigee block mazimaaa... KAMA UNAWEZA LAKINIMaana nahisi umedata nae sanaa
SawaHuyo jamaa sio x wake jaribu kujiongeza
Tunafanya kazi mikoa tofauti1.4 yrs + hamuishi pamoja si vyema kufanya uamuzi wa kuposa. Jipe muda na ukae nae karibu.