Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

Mvulana wa miaka 31 ?
Na bado umamuita mchumba wako?

Vipi ulifanya ulinganifu kati ya mtulinga wa jamaa na wa kwako?
 
Inaumaaaa jamaniiii.... pole... ongeeni kama bado una mpenda, aoneshe kujua kosa lake yatapita.... Kama humpendi tena muache...Itauma ila utasahau.
 
Turushie hizo picha jukwaa la wakubwa tuburudike nazo
 
Sasa wewe mvulana unalalamika watu kurushiana picha tuu wakati wenzio wanarushiana hadi ndege acha ushamba
 
RAMOZ....TOKA NDUKI JAMAA YANGU. HIZO NI PICHA TU WANATUMIANA WAKIWA MBALI. Wakiwa karibu WANAZIUNGANISHA KABISA
 
Pole sana mkuu huyo hakuwa wako yupo wapo endelea kuvumilia hata umri ukienda ila ipo siku utampata utakaye kupenda !!!!huyo alikuwa anakula mfuko wako wa hela
 
Ya nini chief? mim kuna mwanamke hadi leo analia maana aliniacha kwa mbwembwe aliahidiwa mambo makubwa wakati huo sina kazi. kaishia kuzalishwa watoto 3 na kupigwa chin hata hajaolewa. Alivyosikia nimepata kazi akawa anajigonga nikamwambia tulishamalizana
Safii sana hivi viumbe sijui wanatumia nini kufikiria sasa mkuu kabla huja amua kuweka chombo ndani hakikisha umewatafuna kisawasawa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amelinganisha na wa kwake akahitimisha kuwa yeye ni mvulana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu asee umenifanya nikacheka sana jamaa sio kama kumaliza siku mbili ndio akapost humu angejiita mtoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom