Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

Inaniumiza nimejikuta nina chuki isiyoelezeka
Hupaswi kuwa na chuki sisi watu wa Imani huwa tunasema yaliyofichwa ni ya Mungu mwenyewe ila aliyotufunulia ni ya kwetu hivyo anakuwa ana kusudi la sisi kuichukua hatua stahiki
 
Salaam wanabodi,,,
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 31 niko kwenye mahusiano na mdada flani huu ni mwaka na miezi 4 na nilipanga mwezi wa 7 nipeleke posa nimuoe,,!!! Tatizo huwa hatukai pamoja tuko mikoa tofauti hivyo mara kwa mara yeye huwa anakuja kila akipata nafasi'' wiki 2 zilizopita alikuja kwangu kwa bahati mbay niliomba simu yake kuna kitu nilikuwa naangalia "Lahaullah" sikuamini nilichokiona. ,,nimekuta kuna jamaa wanatumiana picha za utupu,,yaani yy anatuma uchi wake na yy anatumiwa mtulinga wa jamaa!! Nashukuru sikufanya chochote kibaya zaidi ya kumpa nauli arudi alikotoka!! Napata wakati mgumu sana wandug
we nae picha tu umetoa nauli je ingekua.....................................
 
Salaam wanabodi,,,
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 31 niko kwenye mahusiano na mdada flani huu ni mwaka na miezi 4 na nilipanga mwezi wa 7 nipeleke posa nimuoe,,!!! Tatizo huwa hatukai pamoja tuko mikoa tofauti hivyo mara kwa mara yeye huwa anakuja kila akipata nafasi'' wiki 2 zilizopita alikuja kwangu kwa bahati mbay niliomba simu yake kuna kitu nilikuwa naangalia "Lahaullah" sikuamini nilichokiona. ,,nimekuta kuna jamaa wanatumiana picha za utupu,,yaani yy anatuma uchi wake na yy anatumiwa mtulinga wa jamaa!! Nashukuru sikufanya chochote kibaya zaidi ya kumpa nauli arudi alikotoka!! Napata wakati mgumu sana wandug
we bado unampenda ndio maana umekuja hapa,kiufupi huna mke utamegewa hadi utaletetwa gonjwa au mtoto asiye wako mshukuru Mungu,hata hvy ni kwa nn huyo binti hakufuta hizo picha,jiulize sana,wanawake wapo wengi saaaaana wanasubiri hizo nafasi huyo malaya achana naye wengine uhuni ni asili yaani wamerithi,fanya kazi tafuta pesa wapo wengi wazuri mno kuliko malaya huyo
 
Nakushauri msamehe alafu mwambie makosa yake kisha endelea....
 
Ya nini chief? mim kuna mwanamke hadi leo analia maana aliniacha kwa mbwembwe aliahidiwa mambo makubwa wakati huo sina kazi. kaishia kuzalishwa watoto 3 na kupigwa chin hata hajaolewa. Alivyosikia nimepata kazi akawa anajigonga nikamwambia tulishamalizana
Msaidie, mmetoka mbali!
 
Mwaminini Mungu katika haya maswala kwa nini tutumie akili zetu kutafuta wenza? Mungu anaijua mioyo yetu sote ukitoka mwenyewe mwenyewe utakutana na wanyama hatari kama hao
 
Ulipoangalia hizo picha, hilo dushe la mme mwenzio na lako lipi kubwa? maana inawezekana shida zako ndo zinafanya asitulie.
 
mpe black and white then msikilize dhamira yake ni nini kufanya hivyo ka atakuwa na majibu yasiyokuridhisha nadhani utakuwa na jibu sahihi baada ya kumsikiliza
 
Miaka 31 unajiita "MVULANA",,,,,,,??????????
 
Salaam wanabodi,,,
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 31 niko kwenye mahusiano na mdada flani huu ni mwaka na miezi 4 na nilipanga mwezi wa 7 nipeleke posa nimuoe,,!!! Tatizo huwa hatukai pamoja tuko mikoa tofauti hivyo mara kwa mara yeye huwa anakuja kila akipata nafasi'' wiki 2 zilizopita alikuja kwangu kwa bahati mbay niliomba simu yake kuna kitu nilikuwa naangalia "Lahaullah" sikuamini nilichokiona. ,,nimekuta kuna jamaa wanatumiana picha za utupu,,yaani yy anatuma uchi wake na yy anatumiwa mtulinga wa jamaa!! Nashukuru sikufanya chochote kibaya zaidi ya kumpa nauli arudi alikotoka!! Napata wakati mgumu sana wandug
Kwann ukumwambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom