kdom
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 238
- 146
Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba wangu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi Ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi but kitu cha kushangaza hataki niende kwake bila kumtaarifu mapema.
Nikienda bila taarifa huwa ni ugomvi mkubwa sana inafikia stage hatuongeleshani kabisa yani natamani kurudi nilikotoka wakati huohuo.
Wakuu hivi na nyie mnafanyiwa hivi na wachumba zenu?
Naomba ushauri
Nikienda bila taarifa huwa ni ugomvi mkubwa sana inafikia stage hatuongeleshani kabisa yani natamani kurudi nilikotoka wakati huohuo.
Wakuu hivi na nyie mnafanyiwa hivi na wachumba zenu?
Naomba ushauri