Mchumba wangu hataki nimfanyie suprise

Kiukwel mtu asiependa suprise anayake nilikuw katika situation kama yako anasema hapend surprise na kwel siku moja surprise yangu nilikutana na surprise pia nikawakuta chumban hata milango hawajafunga ndio nikaelewa kwann jamaa hakuwa anataka suprise . hayo mambo sijui kukuta room kichafu mboga hamna khaaa labda kama ndio mnaanza mapenz ila wapenz mliozoeana hayo mambo ya kawaida tu hata mm naweza kuwa nina hela tukanunua mboga.
Ni visababu tu ila mara nying watu wa hiv sio waaminifu
Kabisa asee.
 
Kwanini ufanye surprise
Labda hana mboga.hajapiga deki hajaosha vyombo na ubusy wa wiki. Au alikua na ratiba zake ukija mgeni lazima hizo ratiba zivuruguke.
Na kwanini unatembea njia nzima bila kumwambia mwenzio labda anataka kukufanyia maombi ukiwa njia si unajua kuna ajari nyingi njiani
Sikiliza kile mpnz wako ana penda kufanyiwa siyo kila unalo sikia huko nje kua ni njia ya kuonyesha upendo basi lazima ulijaribu mengine yanaharibu mahusiano

Anza kutoa taarifa kuanzia sasa
Bonge la ushauri. Mimi nilivyooa babu yangu aliniambia kuwa unaporudi safari yoyote utoe taarifa na kama ikitokea hujatoa taarifa basi ukifika stendi mtume hata kijana apeleke mizigo wewe upitie hata baa au kilabuni masaa mawili matatu ndio uende nyumbani
 
Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba wangu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi but kitu cha kushangaza hataki niende kwake bila kumtaarifu mapema,

Nikienda bila taarifa huwa ni ugomvi mkubwa sana inafikia stage hatuongeleshani kabisa yan nataman kurudi nilikotoka wakati huohuo, wakuu hivi na nyie mnafanyiwa hivi na wachumba zenu? Naomba ushauri
Mkuu hapo kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia so anajua kuna kitu huwa anafanya ww ukiwa haupo sasa ukimshyukiza unaweza kujua anayoyafanya ndio maana ananuna. Maisha ya kuzuga mabaya sana wengine huwa wachafu yaan ukishtukiza unakuta room iko chafu/ rough ndio maana anataka taarifa mapema ajiandae kuweka kila kitu sawa pamoja na michepuko kama IPO aipe ban ya muda
 
1. Ana mambo mengi.
2. Ni vizuri uwe unatoa taarifa ili ajipange kwa sababu nyie siyo wanandoa ni mchumba tu, kwa hiyo taarifa ni muhimu...
 
Bro ushasikia wimbo unaitwa side chic?!

Uyo demu wako sijui bwana wako i can tell anapiga mbili kwa mbili. We wa singida na yeye ana wake huko aliko sa ukitokeza ghafla unamwaribia!

Open yaaaa eyees! Let them shiiiine!
Unazungukwaaaaaaa
 
Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba wangu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi but kitu cha kushangaza hataki niende kwake bila kumtaarifu mapema,

Nikienda bila taarifa huwa ni ugomvi mkubwa sana inafikia stage hatuongeleshani kabisa yan nataman kurudi nilikotoka wakati huohuo, wakuu hivi na nyie mnafanyiwa hivi na wachumba zenu? Naomba ushauri
Unalipa kodi ya hiyo nyumba if i may ask please? umemlipia mahari labda?
 
Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba wangu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi but kitu cha kushangaza hataki niende kwake bila kumtaarifu mapema,

Nikienda bila taarifa huwa ni ugomvi mkubwa sana inafikia stage hatuongeleshani kabisa yan nataman kurudi nilikotoka wakati huohuo, wakuu hivi na nyie mnafanyiwa hivi na wachumba zenu? Naomba ushauri
Siku hizi mmeharibika akili sana
Badirisha usituambie mchumba sema hawala yako
Unatuletea upupu tu wakati mnatongozana tulikuwepo ?
Au unataka tu uwajue na wengine ikoje
 
In short hatak niende kwke kbxa masharti yanakuwaga mengi xna.
Umemchezea muda mrefu bila kumuoa mpaka unaenda bila taarifa we kicheche kweli
Tena namwambia akupige marufuku hata njia ya kwenda kwake tu akupige stop kwenye cm na hata salam ili akili ikukae
Mnachezea chezea tu watoto wa watu
 
Ana yake huyoo! Mwanamke gani hapendi suprise?
Unataka kuniambia hata ww ungependa hiyo surprise ya kugegedwa bila kuolewa muda wote huo
Mbona ss wenye wake zetu hatuna shida unaingia muda wowote unaotaka
Akikuuliza mbona hujanijulisha na tumekula tumemaliza
Unamkumbatia kwanza unampa pole unafungua begi unampa chips kuku balaa lake anasahau hata kama alikuwa anakuuliza umekula
Unapewa kila kitu without shida
 
Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba wangu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi but kitu cha kushangaza hataki niende kwake bila kumtaarifu mapema,

Nikienda bila taarifa huwa ni ugomvi mkubwa sana inafikia stage hatuongeleshani kabisa yan nataman kurudi nilikotoka wakati huohuo, wakuu hivi na nyie mnafanyiwa hivi na wachumba zenu? Naomba ushauri
Huyo sio mchumba wako ni mchumba wenu bora nusu shari kuliko shari kamili kaa mguu sawa lolote laweza kutokea kwanza una umri gani mkuu hadi hilo hulijui?????????
 
Back
Top Bottom