Mchumba wangu hataki nimfanyie suprise

Unataka kuniambia hata ww ungependa hiyo surprise ya kugegedwa bila kuolewa muda wote huo
Mbona ss wenye wake zetu hatuna shida unaingia muda wowote unaotaka
Akikuuliza mbona hujanijulisha na tumekula tumemaliza
Unamkumbatia kwanza unampa pole unafungua begi unampa chips kuku balaa lake anasahau hata kama alikuwa anakuuliza umekula
Unapewa kila kitu without shida
Hivi mbona suprise zipo za aina nyingi sidhani kwamba kila anaye suprise anataka kugegeda.
 
Hivi mbona suprise zipo za aina nyingi sidhani kwamba kila anaye suprise anataka kugegeda.
Umeelewa ujumbe wake?
Yeye anatoka singida kwenda kwa hawla yake ifakala umenipata

Huyu ni hawala yake hebu fikiri safari yote hiyo aje hivhiv kukuona uso tu
Na kwa kawaida watu wenye shida ndo wanaoanza kusemea ili waonakane malaika
 
Hehehe
Hayo ni manyoya. We ukienda mpe taarifa tu, kwani kuna shida hapo
 
Mh
Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba wangu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi but kitu cha kushangaza hataki niende kwake bila kumtaarifu mapema,

Nikienda bila taarifa huwa ni ugomvi mkubwa sana inafikia stage hatuongeleshani kabisa yan nataman kurudi nilikotoka wakati huohuo, wakuu hivi na nyie mnafanyiwa hivi na wachumba zenu? Naomba ushauri
Mh! hapo kengele ya hatari imeshaanza kulia hivyo chukua hatua mapema vinginevyo utakuja hapa na lalamiko lingine, Oooo... kaniambukiza gonjwa la ngono .........blabla.........
 
kama umependa kubali yaishe, mtaarifu tu!!
mkichoka kulima mtatupa majembe wenyewe
Hakuna mambo ya kukubali hapa, lazima kieleweke kwamba kengele ya hatari imeshalia, sasa sijui jamaa anasubiri hadi aungue moto? kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Huyo si mkeo ni rafiki tu.Ni vema ukampa taarifa kwamba unataka kwenda kwake ili akubali uende au akatae pia.Kumbuka naye ana ratiba zake.Unaweza kwenda ukakuta naye kasafiri au ana mgeni mwingine.Oa acha kubabaika na misuprise zako.
 
Siku hizi mmeharibika akili sana
Badirisha usituambie mchumba sema hawala yako
Unatuletea upupu tu wakati mnatongozana tulikuwepo ?
Au unataka tu uwajue na wengine ikoje
Kama huna cha kuongea pita hv, unalaeta masihara kwa inshu za mcng.boya kweli
 
Kwanini ufanye surprise
Labda hana mboga.hajapiga deki hajaosha vyombo na ubusy wa wiki. Au alikua na ratiba zake ukija mgeni lazima hizo ratiba zivuruguke.
Na kwanini unatembea njia nzima bila kumwambia mwenzio labda anataka kukufanyia maombi ukiwa njia si unajua kuna ajari nyingi njiani
Sikiliza kile mpnz wako ana penda kufanyiwa siyo kila unalo sikia huko nje kua ni njia ya kuonyesha upendo basi lazima ulijaribu mengine yanaharibu mahusiano

Anza kutoa taarifa kuanzia sasa
ha ha haaaaa nimejikuta tu nacheka mwenyewe kwa comment yako wallah
 
Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba wangu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi Ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi but kitu cha kushangaza hataki niende kwake bila kumtaarifu mapema.

Nikienda bila taarifa huwa ni ugomvi mkubwa sana inafikia stage hatuongeleshani kabisa yani natamani kurudi nilikotoka wakati huohuo.

Wakuu hivi na nyie mnafanyiwa hivi na wachumba zenu?

Naomba ushauri
Inaonekana kwenye Suprise zako huwa unaenda mikono mitupu ndio maana ugomvi unatokea,hebu badili style mbaba,Usiwe DUME SURUALI
 
Kwanini ufanye surprise
Labda hana mboga.hajapiga deki hajaosha vyombo na ubusy wa wiki. Au alikua na ratiba zake ukija mgeni lazima hizo ratiba zivuruguke.
Na kwanini unatembea njia nzima bila kumwambia mwenzio labda anataka kukufanyia maombi ukiwa njia si unajua kuna ajari nyingi njiani
Sikiliza kile mpnz wako ana penda kufanyiwa siyo kila unalo sikia huko nje kua ni njia ya kuonyesha upendo basi lazima ulijaribu mengine yanaharibu mahusiano

Anza kutoa taarifa kuanzia sasa
 
Back
Top Bottom