Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,429
- 191,656
Kwamba manz hampendi msela tena au ni mvivu tu? Kuna kila sababu ya kuandaa gunia mbili za mkaa na kidumu ya diesel.
Kwanza hio ilikuwa ni tabia yake toka mwanzo wa mahusiano yenu au Imeanza baada ya muda.
Kama ni tabia yake toka mwanzo bila shaka yeye hapendi tu tendo hilo kwahiyo unatakiwa kumshawishi kwa muda mrefu kama kama kumuandaa kikamilifu kabla ya tendo au hata kunywa naye wine kidogo sababu wine inasaidia sana kusogeza hisia.
Pili inawezekana kabisa wewe ndio ukawa chanzo cha yeye kuchukia mchezo kama kutomuandaa vizuri au kumpapalukia na kutaka kujiridhisha wewe tu bila ya kujali yeye karidhika au la.
Tatu inawezekana hana hisia na wewe kwa sasa ndio maana anashindwa kufanya tendo lenyewe sababu mwanamke kufanya tendo la ndoa na wewe ni mpaka awe na hisia na wewe.