Mchumba wangu hapendi kufanya ngono, ninapata tabu sana

Mchumba wangu hapendi kufanya ngono, ninapata tabu sana

Mkuu wewe ni mtu mstaarabu sana. Mpaka umekuja kulalama humu kwa mara ya pili basi maji yamekufika shingoni.

Tendo la ndoa ni muhimu sana kwenye mahusiano yoyote yale iwe BF na GF, stage ya uchumba na hata ndani ya ndoa. Kama mmoja haridhiki mahusiano yatalegalega sana na huweza hata kufa.

Ushauri wangu kwako ongea na huyo shem mpe ultimatum kwamba huwezi kuvumilia hali hiyo pamoja na kuwa unampenda sana. Mwambie abadilike na abadilike haraka sana ili aweze kukidhi matakwa yako za kuwa naye kwenye tendo la ndoa mara kwa mara. Hataki kubadilika basi PIGA CHINI haraka sana.
Piga chini isnt an option
 
Mkuu niambie nimekugusa sio
Kabisa,huyu wangu mpaka nijichatishe na michepuko halafu nijifanye nimesahau simu,atawaka hapo wee,sasa hiyo wiki utakoma,unapewa muda wote na kama wikiendi anakufungia ndani kabisa,baada ya wiki anabana tena.ila sijamchepuka kwakweli,sinaga time na wanawake wa nje,ana wivu mno,sometimes nachezea kichapo.
 
Wakuu heshima kwenu, bila shaka weekend inaenda vyema kabisa.

Husika na kichwa cha uzi. Mchumba wangu nipo naye kwenye mahusiano kwa muda sasa na maandalizi ya ndoa yanaenda vyema kabisa. Nashukuru kwa hatua hiyo.

Mahusiano yetu yamekuwa ni ya kushibana, yamejaa upendo, furaha na amani lakini kama ilivyo kawaida mapungufu huwa hayakosekani kuhusu jambo husika.

Suala la mapenzi/tendo la ndoa, mwenzangu hana hisia nalo kabisa na halitilii umuhimu. Hili jambo linaniumiza kichwa sana na kupelekea kukosa usingizi usiku ukizingatia nina mpenda sana. Nimejaribu kumshawishi sana japo aoneshe hisia lakini imeshindikana, sijui tatizo ni nini..na sijaweza kulibaini hadi sasa.

Wakuu nifanyeje ili niweze kurudisha furaha ya mahusiano haya.Upendo bila mzizi wake wa tendo huo unakuwa sio upendo tena. nisaidieni nirejeshe upendo. Kama kuna aina yoyote ya dawa inayoweza kuboost hili tatizo nisaidieni niweze kumrejeshe mchumba hisia na hamu ya tendo.

Karibuni wana JF tuokoe MV Magogoni inazama huku, maana huu mwendo si rafiki kabisa inaweza kuzama muda wowote. Tumsaidie rafiki yangu aisee.
Muulize anapenda nn kutoka kwako ?
 
Why waste his time while he is not happy in this relationship!? [emoji15]
Mkuu mimi huwa naamini matatizo ni kuyakabili not otherwise... Kuachana sio first priority,unaweza ukaenda kwingine ukakuta matatizo zaidi ya hayo labda tatizo liwe sugu kwa miaka mingi
 
Kabisa,huyu wangu mpaka nijichatishe na michepuko halafu nijifanye nimesahau simu,atawaka hapo wee,sasa hiyo wiki utakoma,unapewa muda wote na kama wikiendi anakufungia ndani kabisa,baada ya wiki anabana tena.ila sijamchepuka kwakweli,sinaga time na wanawake wa nje,ana wivu mno,sometimes nachezea kichapo.
I did the same, actuall it was working najua ndiyo njia pekee ya kumfanya mwanamke mchoyo akupe utamu
 
Kuna dada mmoja niliwahi kuwa nae kwenye mahusiano miaka iliyopita, mwanzo wa mahusiano alikuwa kama huyo wa kwako lakini kadiri siku zilivyosonga mbele alianza kubadilika akawa anapenda kutiana hadi nikabaki najiuliza nini kimemkumba!

Nilimfanyia utafiti nikagundua sababu ilikua ni yule mwanaume aliyekuwa naye kabla ya kukutana na mimi, kwanza wakati wa kumbikiri "alimbaka" (force impression), halafu alijijali yeye tu badala ya kuwa shirikishi, kwa mfano; hakumuandaa badala yake akawa akidindisha anamsokomezea liboloyanki lake anammwagia shahawa basi imetoka hiyo- matokeo yake akamsababishia hali ya kutoona umuhimu wa kuchapana miti.

Sasa alipokuja kukutana na maandalizi ya about thirty to forty five minutes, romance za kufa mtu lainiiiiii, mororoooooo balaaaaa, massage hadi anajikuta magoli yanamjia kama yote, kitumbua kinalowana chapachapa ukiweka kichwa tu inateleza inajaa mazima anabaki anaachama midomo ova anakata pumzi kuku akipiga makofi na kuzungumza kwa ishara zile za kusontea kule kwa down, ukimnong'oneza na maneno matamu yaliyojaa mahaba anabaki analia na kucheka kama chizi vile.

Unakuja kummaliza wakati wa mapumziko unamvalisha nguo kama vile vyupi vyupi na cheni na hereni na kadhalika ulivyomnunulia kama zawadi za surprise, ayaaaaa! Hakiyanani lazima akupanulie umtandike boloyanki tena na tena na tena

NB; ke anayebania puchi lake hapana aiseeee
Hata wangu chupi namvalishaga nilijua mkarimu wa iyo ni mm tu kumbe tupo wengi.
 
Nina wangu huyo tupo kwenye ugomvi mkubwa mpaka basi now

Picha linaanza mimi ndo nilifungua njia so mwanzoni nikawa nampeleka taratibu azoee

Tatizo lake ni kwamba anabana miguu mpaka basi yaani anaruhusu kitu kinaingia kidogo halafu anasogeza miguu

Nilishamwambia tukakaa tukaongea sometime nanuna na ananiomba msamahana anaahidi haitajirudia

Nimejifahidi kumuandaa ila ikifika tu kuweka muoga unamuona kabisa kitu kimetepeta ila uoga ndo kwao

Basi mzee inabidi niwe natafuta kazi za nje tu hamna namna kwa sababu ni miaka kadhaa hazoei

Upendo kwangu anao sana some times huwa anajitahidi analegea ila muda mwingi ni hivyo

Kwangu mimi mikasi ni basic need na nilishamwambia zaidi na zaidi haelewi

Na kwshanikamata mara kibao na wengine analia naomba msamaha yanaishi ila tukirudi kitandani yale yale

Kifupi siwezi kuridhika na mwanamke wa vile

Mimi ukinitegea tu kama demu wa gwaji boy poa namaliza fresh
Aseeee!penye miti hamna wajenzi
 
Tendo la ndoa ni ngumu kwa sababu amjafunga ndoa lakini mwambie muwe mnafanya mapenzi kama sisi mabaharia lazima hakupe kila wakati..Mkuu usije ukawa kama yule aliye chukua demu mpaka kwake wakati ana mla demu akasema nipeleke uwani jamaa akamfungulia mlango mpaka chooni dem alivyo ludi aka anza game dem akasema tena nipeleke uwani jamaa akasema utakuwa una mkojo mwingi sana dem akasema sija maanisha chooni dushe peleka upande wa pili jamaa akasema siungesema mapema...
Out of topic
 
There is a limitation when it comes to solve problems. You can not spend 3 to 5 years trying to solve problems, you should learn when to move on with your life instead of wasting your previous time. Time is money Mkuu learn how to use it wisely especially when it involves your happiness.

Mkuu mimi huwa naamini matatizo ni kuyakabili not otherwise... Kuachana sio first priority,unaweza ukaenda kwingine ukakuta matatizo zaidi ya hayo labda tatizo liwe sugu kwa miaka mingi
 
Mawasiliano ni kila kitu ...wakati mwingine hapendi sababu ya uoga .Yaani yeye mwenyewe hajui aguswe wapi afurahi sasa ni jukumu lenu kutengeneza bondi
Pia kuwa wazi kumuonyesha kuwa hutosheki na haupo tayari kuuza mechi
Mwanzo atafanya kwa kukuridhisha ila baadae atakutafuta ww sasa😅
 
Wakuu heshima kwenu, bila shaka weekend inaenda vyema kabisa.

Husika na kichwa cha uzi. Mchumba wangu nipo naye kwenye mahusiano kwa muda sasa na maandalizi ya ndoa yanaenda vyema kabisa. Nashukuru kwa hatua hiyo.

Mahusiano yetu yamekuwa ni ya kushibana, yamejaa upendo, furaha na amani lakini kama ilivyo kawaida mapungufu huwa hayakosekani kuhusu jambo husika.

Suala la mapenzi/tendo la ndoa, mwenzangu hana hisia nalo kabisa na halitilii umuhimu. Hili jambo linaniumiza kichwa sana na kupelekea kukosa usingizi usiku ukizingatia nina mpenda sana. Nimejaribu kumshawishi sana japo aoneshe hisia lakini imeshindikana, sijui tatizo ni nini..na sijaweza kulibaini hadi sasa.

Wakuu nifanyeje ili niweze kurudisha furaha ya mahusiano haya.Upendo bila mzizi wake wa tendo huo unakuwa sio upendo tena. nisaidieni nirejeshe upendo. Kama kuna aina yoyote ya dawa inayoweza kuboost hili tatizo nisaidieni niweze kumrejeshe mchumba hisia na hamu ya tendo.

Karibuni wana JF tuokoe MV Magogoni inazama huku, maana huu mwendo si rafiki kabisa inaweza kuzama muda wowote. Tumsaidie rafiki yangu aisee.
Mpige Dompo na Konyagi atapata hamu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom