Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,128
Teh ...... [emoji23][emoji28]
Ni mchumba huyu nimjuae moneytalk au mwingineWakuu heshima kwenu, bila shaka weekend inaenda vyema kabisa.
Husika na kichwa cha uzi. Mchumba wangu nipo naye kwenye mahusiano kwa muda sasa na maandalizi ya ndoa yanaenda vyema kabisa. Nashukuru kwa hatua hiyo.
Mahusiano yetu yamekuwa ni ya kushibana, yamejaa upendo, furaha na amani lakini kama ilivyo kawaida mapungufu huwa hayakosekani kuhusu jambo husika.
Suala la mapenzi/tendo la ndoa, mwenzangu hana hisia nalo kabisa na halitilii umuhimu. Hili jambo linaniumiza kichwa sana na kupelekea kukosa usingizi usiku ukizingatia nina mpenda sana. Nimejaribu kumshawishi sana japo aoneshe hisia lakini imeshindikana, sijui tatizo ni nini..na sijaweza kulibaini hadi sasa.
Wakuu nifanyeje ili niweze kurudisha furaha ya mahusiano haya.Upendo bila mzizi wake wa tendo huo unakuwa sio upendo tena. nisaidieni nirejeshe upendo. Kama kuna aina yoyote ya dawa inayoweza kuboost hili tatizo nisaidieni niweze kumrejeshe mchumba hisia na hamu ya tendo.
Karibuni wana JF tuokoe MV Magogoni inazama huku, maana huu mwendo si rafiki kabisa inaweza kuzama muda wowote. Tumsaidie rafiki yangu aisee.
Kama lift valleyKitu kingine sensitive [emoji39]
Wewe bibi njoo uchezee mtarimbo wa mwanzaWewe kila mara rafiki rafiki... mmmmmmh
Hivi ushawahi kwenda kusalimia kwa rafiki/jirani/shemeji halafu ukswa na nia ya kula menu ila ukawa unaonesha kukataa, ilihali moyoni unajisemea hii menu lazima niile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemalizia uzi vibaya kwamba tumsaidie rafiki yetu syo wewe tena ?? basi hayo ni masihara ingekua serious ninge kupa reference kwangu mwenyewe juu ya hilo
Hahahah sio umbea shoga nilitaka kujua kabla sijatoa ushauri wanguAcha umbea shoga angu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atakujibu mwenyeweHahahah sio umbea shoga nilitaka kujua kabla sijatoa ushauri wangu
Mindset tu hakuna linaloshindikana, lingine kila kitu kinawezekana mama mankaAtaweza kuvumilia muda mrefu??
Umepotea ,upo?Si useme tu ni wewe[emoji40]
Hahahha sijajibiwa nimechuniwa kwahiyo shoga angu umeachwa au umeacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atakujibu mwenyewe
Sawa baba mankaMindset tu hakuna linaloshindikana, lingine kila kitu kinawezekana mama manka
Ila hamna ndoa kama hamna tendo la ndoaNdoa ni zaidi ya tendo la ndoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85]