Ninachoona hapo ni kama vile wewe ndo unabembeleza hiyo ndoa na yeye anafanya kama analazimishwa huo ni mtazamo wangu tu lakini maana sijui mlikubalianaje wenyewe yaani mimi jamani sijui kwanini nina mitazamo tofauti na baadhi ya wanawake lakini mnaobembeleza ndoa kwa wanaume endeleeni na moyo huo huo ndugu zanguYe single baba wa mtoto wa kike na mi single mama wa mtoto wa kike tukubaliana tuyajenge tulee mabinti zetu.
Cha ajabu hataki nimwambie yeyote kuhusu huu uhusiano wetu.
Kanivisha pete mbele ya wanetu tu.
Katoa mahari.
Tunatarajia kufunga ndoa mwezi ujao.
Anataka ndo ihudhuriwe na wanetu na mashahidi 2 tu ambao atawasuggest yeye.
Hataki sherehe, get together wala shamra shamra yeyote.
Hataki marafiki wowote wajue anataka kunioa.
Anasema yeye ni introvert!
Naombeni ushauri ndugu zangu, wake kwa waume... kuna mahusiano ya hivi? I mean ya siri hata baada ya mahari kutolewa?
Is this a red flag au kuna wanaume wa hivi?
I am confused and frustrated.
ngoja Kwanzaa nicheke hahahahahahahaMwaka sasa. Mi nampenda, to the best of my knowledge nafeel ananipenda.
Noted with thanks.
Dawa ya kumpa furaha. Japo watu wanasema furaha unajipa mwenyewe. Ila kuna vitu ukipewa lazima utafurahi mfano PesewaDawa gani?!
namna hioAnhaa sasa naanza kupata picha
Pamoja mkuunamna hio
Ye single baba wa mtoto wa kike na mi single mama wa mtoto wa kike tukubaliana tuyajenge tulee mabinti zetu.
Cha ajabu hataki nimwambie yeyote kuhusu huu uhusiano wetu.
Kanivisha pete mbele ya wanetu tu.
Katoa mahari.
Tunatarajia kufunga ndoa mwezi ujao.
Anataka ndo ihudhuriwe na wanetu na mashahidi 2 tu ambao atawasuggest yeye.
Hataki sherehe, get together wala shamra shamra yeyote.
Hataki marafiki wowote wajue anataka kunioa.
Anasema yeye ni introvert!
Naombeni ushauri ndugu zangu, wake kwa waume... kuna mahusiano ya hivi? I mean ya siri hata baada ya mahari kutolewa?
Is this a red flag au kuna wanaume wa hivi?
I am confused and frustrated.
ngoja Kwanzaa nicheke hahahahahahaha
umesema ye ni mtu wa kusafir?!! kwa mwaka mnaweza onana Mara chache kama ulivyo sema....
my dear ebu jiongeze basi ur another victim to be we si mke
Bali we ni beki Tatu aliye kua alali mpaka kwa wazazi time will tell
Jamaa ana love na ww
anataka umlele mtt wake n that's fuckn truth take it o leave it
all the best beki tara
uyoo jamaa kaiba idea yangu ...ila nilivomweleza mwenza mambo kama ya uyoo jamaa alikataa kabisa mi nilimwambia kama ni watu wasizidi kumi alikasirika hatari...nikasema basi hamsini ndo akakubali lkn ivo ivoo tyuu..
niseme wanawake kuna vile wanapenda mambo ...
Na wanaume kama hao wapo sana mi mmojawapo ...
Introvert tupo usitushangae
Tuamini tyuu
Dawa ya kumpa furaha. Japo watu wanasema furaha unajipa mwenyewe. Ila kuna vitu ukipewa lazima utafurahi mfano Pesewa
Biblia unayoisoma na kuamini imeandikwa mwanamke akiachika asiolewe Tena.Kwani kuolewa na kuachika ndo inadetermine ukubwa au udogo wa sherehe?
Huu ndio ushauri nauushirkirie vzrmi nachoona jamaa huenda ana ndugu pasua kichwa ama wazazi controlling so anataka kupiga tukio kimya kimya kuepusha ngendembwe zao ama diss kuwa kwanini anaoa single mom.
Another ishu pengine ni kweli hafagilii show offs ama anataka tittle ya married chap ili kufanikisha michongo yake flan flani ila isijulikane kuwa hakuwa na mke before. That means alidanganya ana mke ila hakuwa na ndoa so boss ama co-workers wasijue na tukio liwe fasta wasije wakaunguza.
Mkuu Mimi naishi naturally zaidi.Mimi siku zote nitakurudisha kwenye maandiko tu na nilishakwambia nipe andiko hata moja linaloruhusu kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja na siyo mifano ya kina Solomon au David ambao baada ya kufanya huo uchafu wao walikuja kutubu na mimi nilishakupa maandiko yanayokataza kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja ukayakataa
Wanaume wanaosaliti ndoa na wanaooa mke zaidi ya mmoja wote wana dhambi na tena hawana tofauti na wanawake wanaosaliti ndoa na wanaoolewa na mume zaidi ya mmoja sasa wewe fanya halafu usitubu na endelea kujipa moyo kuwa Mungu anawaza kama binadamu hadi awaruhusu kutenda dhambi na hiyo mifano muendage mkatoe hadi huko mbinguni mkiulizwa
Dhambi Ni vile wewe unainterpret.Hatukatai huo ndo uhalisia uliopo wanaume wengi ni malaya na hata wanawake pia wapo wengi ambao ni malaya ila kinachoshangaza ni kwamba mnakataa kukubali kwamba ni dhambi
Badala yake mnatafuta sababu za kuhalalisha ili ionekane ni sawa halafu mbaya zaidi mnapiga hizi porojo kwa binadamu wenzenu tu ambao hawana mamlaka yoyote sasa huyo mwenye mamlaka sijui mnadhani na yeye ni binadamu kama sisi?
Anataka kuwatangazia rafiki zake.Unataka ndoa ifungishwe au unataka kuutangazia umma kwamba unaolewa???? Kama unataka ndoa olewa tu ila isiwe batili.... Hayo mengine mtajua mbele huko cha msingi muingizane vitu hivyo kwa halali muepuke dhambi ya zinaa