Habari za asubuhi wapendwa.
Nina mchumba wangu ambae anasoma chuo sasa, na mara nying hupenda kuja kushinda kwangu weekends. Sasa sijui ni nini, huyu mdada anapenda sana kuvaa nguo zangu na kushinda nazo au kulala nazo. Naombeni wana jf mnisaidie hapa, tatizo linaweza kuwa nini?
Kuna watu wanakwaza sana humu. Wengi ni much know..
Habari za asubuhi wapendwa.
Nina mchumba wangu ambae anasoma chuo sasa, na mara nying hupenda kuja kushinda kwangu weekends. Sasa sijui ni nini, huyu mdada anapenda sana kuvaa nguo zangu na kushinda nazo au kulala nazo. Naombeni wana jf mnisaidie hapa, tatizo linaweza kuwa nini?
Hahah dude seriously wanakukwaza??? Mgeni wa jf wewe???
Story yako imetuacha hewani hujamalizia ukimwona kaivaa unajiskiaje??
Inawezekana alikuwa mgeni kipindi hicho...umeangalia hii thread ilianzishwa lini?
Yeah. Alishachukuaga boxer kama mbili hivi kazifanya zake