Mchumba wangu anapenda kuvaa nguo zangu

Sikwaziki ila namshangaa sana. Shukrani mkuu. God bless.
 
kweli afrika hatujui mapenzi,sasa hilo nalo ni tatizo?achana nae tafuta mwingine
 
mkuu mbona hilo la kawaida sana.....kwan huyu si wako sasa woga wa nini? anafua yeye na anavaa yy tatizo nini sasa hapo....tena kama vipi na wewe kamata bikin zake cku moja moja unavaa shaka hakuna ndo mapenzi hayo

Hilo la ye kuvaa bikin ciafiki Rashidi ,ndo maana tunaweza vaa suruali bt nyie hamuwezi kuvaa sketi bila gimzo mjini.
Afu Rashidi c ushapata hiyo Single ya nini sasa c ubadilishe
 
Habari za asubuhi wapendwa.
Nina mchumba wangu ambae anasoma chuo sasa, na mara nying hupenda kuja kushinda kwangu weekends. Sasa sijui ni nini, huyu mdada anapenda sana kuvaa nguo zangu na kushinda nazo au kulala nazo. Naombeni wana jf mnisaidie hapa, tatizo linaweza kuwa nini?
Na wewe vaa sidiria yake, mtatoka ngoma draw.
 
habari za asubuhi wapendwa.
Nina mchumba wangu ambae anasoma chuo sasa, na mara nying hupenda kuja kushinda kwangu weekends. Sasa sijui ni nini, huyu mdada anapenda sana kuvaa nguo zangu na kushinda nazo au kulala nazo. Naombeni wana jf mnisaidie hapa, tatizo linaweza kuwa nini?
tatizo hutaki kumnunulia zake.sasa wewe unadhani yeye atavaa nini aisee!
 
Kaka hapo usimkataze hata kidogo, anakufeel mno!!!!!!!!!!!!!!!:majani7:hizo pia ni namna na kukukubali sana kamanda na kukupa hisia, wewe vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bana????:majani7:
Hata mi nilikua nashangaa jamaa vp! Actually i thought guys find it sexy msichana anapovaa nguo zao!!!
 
Hakuna shida hapo ..! Mdada anakupenda jamani..!!

Hata mie huwa natamani nivae za mupenzi, sema ndio hivyo hazinitoshi..Lol!!
 
mimi huwa nafurahi sana mpenzi wangu akuvaa nguo zangu!, maana yeye ndo mfuaji wa nguo zangu!
 
habari za asubuhi wapendwa.
Nina mchumba wangu ambae anasoma chuo sasa, na mara nying hupenda kuja kushinda kwangu weekends. Sasa sijui ni nini, huyu mdada anapenda sana kuvaa nguo zangu na kushinda nazo au kulala nazo. Naombeni wana jf mnisaidie hapa, tatizo linaweza kuwa nini?

yani,nilidhani ww ni wa jinsia ya "ke"
then mchumba wako ni jinsia ya "me" kisha anapenda kua na tabia hiyo
nikitaka kusema ya kwamba may be sio ridhki
ila kwa hapo,me nachukulia ni kawaida tuh,mapenz tuh..
 
Akivaa zako haja kosea nawewe vaa zakwake mbona shwari2. Akila tishet na jins nawe ndani ya kitop na kimini tena na mchuchumio cndio ujana huo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom