Mchumba wangu anapenda kuvaa nguo zangu

Na mimi hupenda kuvaa za mume wangu ijapokuwa tshirt na mashati hunifika chini ya magoti. Pia boxers mi huwa navaa huku mbele kwa bibi kukatuna weeee lakini poa kwani naenda kumfunulia nani mwingine? Yaani napenda sana.
 
The Boss am starting to question your age and experience in 'some of these matters'. Umeambiwa mtu akibleed havai chochote cha kumsitiri???

Ishu ni kinyaa tu..hapa
haswaa kwa wanaovaliana boxer..get it?
 
Kama unampenda kweli unaona shida gani akivaa nguo zako? Mbona tu kwa wapenzi kuvaliana nguo....:thumbup:
 
Habari za asubuhi wapendwa.
Nina mchumba wangu ambae anasoma chuo sasa, na mara nying hupenda kuja kushinda kwangu weekends. Sasa sijui ni nini, huyu mdada anapenda sana kuvaa nguo zangu na kushinda nazo au kulala nazo. Naombeni wana jf mnisaidie hapa, tatizo linaweza kuwa nini?

Kwani kuna ubaya gani wewe Bulldog?

Au unataka tukuulize umri wako au...na kama ungekuwa kule kwetu Tanga ungeulizwa kuwa umeshafikisha vyuo vingapi??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Habari za asubuhi wapendwa.
Nina mchumba wangu ambae anasoma chuo sasa, na mara nying hupenda kuja kushinda kwangu weekends. Sasa sijui ni nini, huyu mdada anapenda sana kuvaa nguo zangu na kushinda nazo au kulala nazo. Naombeni wana jf mnisaidie hapa, tatizo linaweza kuwa nini?

Angalia asije akawa na mimba
 
Ishu ni kinyaa tu..hapa
haswaa kwa wanaovaliana boxer..get it?

no I dont. Funny that you mention Kinyaa. Unavaa nguo safi, ya mpenzi wako. Whats the big deal? Munafanya mangapi ambayo katika hali ya kawaida yanaweza kuleta kinyaa? Come on.
 
no I dont. Funny that you mention Kinyaa. Unavaa nguo safi, ya mpenzi wako. Whats the big deal? Munafanya mangapi ambayo katika hali ya kawaida yanaweza kuleta kinyaa? Come on.

Nimesema only siku za ku bleed sitaki avae boxer yangu...
get it?....anaweza vaa t shirt....
 
hiyo zuga tu anakuonyesha penzi la dhati wakati wa kurudi chuo umpe mshiko wa kutosha
 
Hiyo ni kawaida sana ndugu yangu!!!wewe chukulia tu ni sehemu ya mapenzi
 
usijali kaka yangu, kutupia t-shirt ya mr. siku moja huwa najisikia raha sana. wala usije mwuliza chochote.
 
haina noma,hiyo ni moja ya mapenzi aliyokuwa nayo kwako,kuvaa hivyo ni hisia za yeye kujihisi wewe ni wako.ingekuwa wewe unavaa zake,kisingeeleweka
 
Mama Nanihii nilete ile pichu yako niivae, tena leo nataka ile ya pink na ua zuri la less mbele. Nikikuvaa sitamani wengine kabisa, tena mwanamke akinitaka nataka siku hiyo nimfungulie flaisi aione pichu ya mamsapu na hapo afunge nyege zake!!! Mapenzi bwana kama ni ya kweli hayana vipingamizi!!!! Wanaotekeleza mapenzi ya dhati na kweli watanikubalia hili.
 
Kweli penye miti hamna wajenzi, furahia mchumba wako anakupenda sana
 
Habari za asubuhi wapendwa.
Nina mchumba wangu ambae anasoma chuo sasa, na mara nying hupenda kuja kushinda kwangu weekends. Sasa sijui ni nini, huyu mdada anapenda sana kuvaa nguo zangu na kushinda nazo au kulala nazo. Naombeni wana jf mnisaidie hapa, tatizo linaweza kuwa nini?

hakuna tatizo hapo bwana,that shows her affection,coz hata mie wangu hupenda sana kuvaa nguo zangu hasa vest/singlet na mashati yangu ya mikono mirefu ambayo chini huvalia taiti au boxer zake za kike
My take: plz do not discourage her on that.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom