Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Unajifagilia kupendwa mh! mtunze ukijichanganya tu ataenda kuvaa za wengineHabari za asubuhi wapendwa.
Nina mchumba wangu ambae anasoma chuo sasa, na mara nying hupenda kuja kushinda kwangu weekends. Sasa sijui ni nini, huyu mdada anapenda sana kuvaa nguo zangu na kushinda nazo au kulala nazo. Naombeni wana jf mnisaidie hapa, tatizo linaweza kuwa nini?