Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

hakuna mapenzi ya lazima siku hizi kakudanganya ukiona hivyo ujue huko alikotoka kifurushi chake cha kuishi kimeisha na ni kawaida kwa wafanyakazi wa ndani mzee huyo siyo mke hapo kapumzika tu ili umsaidie kulea mimba atavumilia mpk amwachishe mtoto ndipo utakapoanza kuona mapicha ya kihindi tena
 
Mkuu kama unaendelea kuwa naye huyo binti fanya mchakato mkacheki Afya.
Wewe mtu umemwokoteza kwenye gari Mara hiyo hiyo umeshamfanya mchumba? Unaambiwa anafanya kazi kwa mwanaume ambaye mke wake alifariki (na hujui kilichomuua) wewe unakubali anatiwa mimba na mwanaume huyo huyo Leo unauliza ushauri ufanyeje?
 
FACTS,....
Unapo anzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke yoyote usiyemfahamu tambua ya kuwa wengi wao huwa sio wakweli.Ni hivi ni wachache sana kweli akasema yupo single na ikawa kweli.ila wengi wao huwa wapo katika mahusiano ambayo kama sio yanalegalega basi hiyo siku uliye mtongoza akakukubalia walikuwa na mgogoro na mpenzi wake so kakukubalia ili wewe uwe hand bag apozee machungu tu,na pindi wakiombana msamaha kazi unayo..

Kwa hilo lako..madhali umesha jidhatiti kuwa utamuoa endelea na msimamo huo kwani sina maana kuwa hakuna wanawake ambao ni wa kweli.ingawa swali linakuja kwann siku aliyobakwa hakukutaarifu ili ujue mnafanya nn?.pia je hiyo mimba Ina miezi mingapi approximately(je inaendana na maelezo yake).

Mh...hapo pana ukakasi.akili kichwani mwako
 
mtoa mada wewe ndio tatizo kwa kushindwa kumwacha huyo dada. Halafu inaonekana ndio demu wako wa kwanza maana umedata mpk hujielewi
 
kama alibakwa sawa lakini otherwise viuno alikatika mwenyewe kwa ridhaa yake na jamaa akatemea humo humo
 
Wewe mtu umemwokoteza kwenye gari Mara hiyo hiyo umeshamfanya mchumba? Unaambiwa anafanya kazi kwa mwanaume ambaye mke wake alifariki (na hujui kilichomuua) wewe unakubali anatiwa mimba na mwanaume huyo huyo Leo unauliza ushauri ufanyeje?
Mkuu hapa dunuani kuna watu sio waoga kabisa.
 
Ngoja ngoja utakuta mwana si wako..ilikuwaje ukashindwa mtia mimba kabla hajatiwa mimba? Au wewe ulikuwa unataka ukae nae kama pambo? Labda hujui kitu, mimba huingia hiviii, watu wanakutana nyama kwa nyamaa kavu kavu, kwa hiyo huyo unayemuita mchumba alimpa jamaaa kitu dry, unajua nini? Sijaona umeandika kama alibakwa, ina maana alikuwa amependa, ndugu hakuna mchumba hapo angalia maisha yako, mke bora huja automatically, na sio manual.
 
FACTS,....
Unapo anzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke yoyote usiyemfahamu tambua ya kuwa wengi wao huwa sio wakweli.Ni hivi ni wachache sana kweli akasema yupo single na ikawa kweli.ila wengi wao huwa wapo katika mahusiano ambayo kama sio yanalegalega basi hiyo siku uliye mtongoza akakukubalia walikuwa na mgogoro na mpenzi wake so kakukubalia ili wewe uwe hand bag apozee machungu tu,na pindi wakiombana msamaha kazi unayo..

Kwa hilo lako..madhali umesha jidhatiti kuwa utamuoa endelea na msimamo huo kwani sina maana kuwa hakuna wanawake ambao ni wa kweli.ingawa swali linakuja kwann siku aliyobakwa hakukutaarifu ili ujue mnafanya nn?.pia je hiyo mimba Ina miezi mingapi approximately(je inaendana na maelezo yake).

Mh...hapo pana ukakasi.akili kichwani mwako
Hiyo mimba ina miezi miwili nimeanza kupunguza mawasiliano na yeye ili niachane nae kabisa nimempa nauli yupo kwao nataka nimpotezee moja kwa moja.
 
Kumbe umeona mkuu
Nawajua Sana Hawa mademu yani she may do everything she could to make you believe her na Hua Wanaigiza u_wife material Sana kiasi kwamba utaona ana malengo na wewe lkn kumbe anaku_plania

We don't have to go with a long face to them

Unamuoa vzr unaishi nae miaka kadhaa na mnafanikiwa lkn baadae lazima uanze kulamba umauti wewe
 
acha ubwege mkuu angekuwa anakupenda asingekusaliti km alibakwa mbona hakwenda mahakamani ww mwnyw life ngum afu ulee mtoto wa mtu life imekuwa ngumu hiv
 
Back
Top Bottom